Gigy Money anaumwa kalazwa Muhimbili ICU

images (10).jpeg

Enzi hizo ndo kaingia mjini akitokea mwakaleli.....
 
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Gigy Money, uongozi wa msanii Gigy Money umeeleza kuwa msanii huyo anaumwa na anahitaji maombi kutoka kwa mashabiki wake. Taarifa hiyo imekanusha uvumi kuwa amepigwa au amehusika katika ugomvi wowote, ikisisitiza kuwa habari hizo ni za kupuuzwa.

Gigy Money alipelekwa hospitali ya Muhimbili baada ya juhudi za awali katika vituo vingine vya afya, na familia yake inawashukuru madaktari kwa msaada wao. Kwa sasa, anahitaji mapumziko, faraja na utulivu katika kipindi hiki kigumu cha kupambana na afya yake.

Mungu ni Mwema hata kama alipigwa!
 
WANAWAKE BWANA. NYIE MASHOGA ZAKE MUOMBEENI UNAMWANDIKA MTU KAMA NA SISI TUNAMJUA? KUUMWA KWAKE SI SUALA LA KITAIFA. MUOMBEANE NINYI KWA NINYI.
 
Back
Top Bottom