Gigy Money anaumwa kalazwa Muhimbili ICU

Gigy Money anaumwa kalazwa Muhimbili ICU

Gari kwenda gereji ni kitu cha kawaida, na gereji ya binadamu ni hospitali, kwa sababu tangu tuzaliwe;- moyo, mapafu, figo, maini n.k hayajawai kusimama na kushindwa kufanya kazi, ikitokea imeshindwa kufanya kazi kabisa, basi jiandae na kifo; mwili wa mwanadamu ni sawa na gari.

Swali la kujiuliza, mwili wako ukipata hitilafu, utaupeleka gereji ipi?​
 
Gigy ni kiki kiki... naikubali hiyo nyimbo yake..
Na usikute anatengeneza kiki nyingine.
Ila kuna yule sijui amber lulu ana kipaji sana cha mziki ila ndio wenge jingi kawa cha pombe hatari
 
Atavuna alichopanda
Ni jambo la kusikitisha kuona baadhi ya watu wakitengeneza au kusambaza uvumi usio wa kweli kuhusu hali ya afya ya mtu. Badala ya huruma na mshikamano, wanachagua kueneza uongo na kejeli. Hali kama hii inahitaji utu, si dhihaka. Tuwaunge mkono wagonjwa na familia zao kwa sala na faraja, si kwa maneno ya kupotosha.
 
Back
Top Bottom