Gigy Money anaumwa kalazwa Muhimbili ICU

Gigy Money anaumwa kalazwa Muhimbili ICU

WANAWAKE BWANA. NYIE MASHOGA ZAKE MUOMBEENI UNAMWANDIKA MTU KAMA NA SISI TUNAMJUA? KUUMWA KWAKE SI SUALA LA KITAIFA. MUOMBEANE NINYI KWA NINYI.
Bwana wako nani hapa?we kama unamuombea shosti Ako muombee kimya kimya siyo lazima Kila mmoja ajue
 
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Gigy Money, uongozi wa msanii Gigy Money umeeleza kuwa msanii huyo anaumwa na anahitaji maombi kutoka kwa mashabiki wake. Taarifa hiyo imekanusha uvumi kuwa amepigwa au amehusika katika ugomvi wowote, ikisisitiza kuwa habari hizo ni za kupuuzwa.

Gigy Money alipelekwa hospitali ya Muhimbili baada ya juhudi za awali katika vituo vingine vya afya, na familia yake inawashukuru madaktari kwa msaada wao. Kwa sasa, anahitaji mapumziko, faraja na utulivu katika kipindi hiki kigumu cha kupambana na afya yake.

Bitch
 
Inatakiwa Gigy atoe tamko kama la Hayati Diana Aston Villa ili mjini pachangamke... kahaba akiumwa huwa ni taharuki kwa wazinzi.
Hivi ni wazinzi au wasinzi?
Mwenyezi Mungu amjaalie apone mapema atoe video nyingine sio tunawochi ileile kila siku 🙏
 
Bwana wako nani hapa?we kama unamuombea shosti Ako muombee kimya kimya siyo lazima Kila mmoja ajue
WANAWAKE BWANA. NYIE MASHOGA ZAKE MUOMBEENI UNAMWANDIKA MTU KAMA NA SISI TUNAMJUA? KUUMWA KWAKE SI SUALA LA KITAIFA. MUOMBEANE NINYI KWA NINYI. Mnakuja postiana huku utadhani tunawafahamu. Muombeane huko na mabwana zenu. Huku leteni hbr za sisii wanaume.
 
Bad assumptions, utavuliwa ubingwa ghafla
 
Humu mna koment ujinga mwingi kama ninyi wazima sana, wakati mamia kwa maelfu mmeungua

Mtu akiumwa kwamba ni hechiaivi tuu,

Huyu dada wanadai hayupo sawa kiakili plus harakati zake basi tafrani tupu,

Nakuombea upone mama Mayra, Gift Stanford
Kwahiyo wewe hao unaokutana nao kwenye kitengo unadhani ni nchi nzima, mpo 1.5 tu nchi nzima
 
Back
Top Bottom