Gigy Money asaidiwe

Watu hawaogopi ukimwi ni kavu kavu
Hawa wasanii wooote unaowaona ni makahaba. Kuanzia kina Mobeto, Wema, etc... wote ni makahaba. Wanatofautiana kwenye namna wanavyouza, wanamuuzia nani na bei. Mobeto yeye anauza kwa oda maalum na bei yake iko juu.
 
Inakuuma nini yeye kutumia mwili wake anavyopenda? Wewe hujawahi kuzini? Nchi hii zinaa sio kosa la jinai.

Watu wamejaa unafiki.
Hivi huyo Gigy na Diamond wana tofauti gani? Diamond kila siku ana mwanamke mpya. Kwanini wanaona mwanamke anahitaji msaada na mwanaume hahitaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…