Gigy Money asaidiwe

Kwa kuwa wote ni wanaccm basi usitarajie chochote.

Nchi hii ukitaka kuplay risk na kubaki kuwa safe basi jiunge na ccm chawa
 
Kwa kuwa wote ni wanaccm basi usitarajie chochote.

Nchi hii ukitaka kuplay risk na kubaki kuwa safe basi jiunge na ccm chawa
 

Hivi ni nani kasema au kafanya jamii imuone huyu mtu ni wa mfano. Kwa nyimbo zipi. Wakati mwingine tulaumu watu wenyewe kwasababu anafuatiliwa kutokana na vituko vyake.
 
Hichi ndicho alichokuwa akikitaka giggy!...

Mission Accomplished!!!

Aliirecord hii video purposely kwa lengo (mahsusi kabisa) la kuisambaza indirectly kupitia mange...

Hata ukiiangalia video kwa jicho la udadisi... Unagundua kabisa ya kwamba...this was planned to be as it is!

Hii ni njia yao kuu ya kukuza soko lao.. giggy, amberL and the like!
U

Uliona wapi (kiuhalisia) unagonga Demu anavuta sigara kitandani ama kusoma gazeti!!?

#imeendahiyo
 
Nakubaliana na wewe, na kwa style hii watadhalilika wengi mjini hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…