Gigy Money asaidiwe

Gigy Money asaidiwe

Kwa mawazo yangu nafikiri ana depression, ana tatizo kubwa la akili.. Kwa yaliyompata yeye na mwenzake Amberlulu, sikutarajia kama atajisifia kwamba ni muuzaji wa mwili..

Hivi karibuni pamekuapo na matukio ya kifedhuli kuhusiana na wasanii maarufu, na hao wanaonyesha kabisa ni wauzaji wa mwili, huku wakiishi fake life.. ni picha mbaya sana na mfano mbovu kwa kizazi Cha vijana wadogo..

Natarajia serikali ichukue HATUA Kali, isilikalie KIMYA hili. Gigy anarekodi video anajisifu anauza mwili, je ni mfano Gani anaonyesha wasichana wadogo ambao ni Taifa la kesho?? Mh. Dr Doroth Gwajima usilifumbie macho hili

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Huyu demu kwenye ubora wake alikuwa bonge la shepu na kumbuka kipindi kile Sam alikuwa anamwalika FNL,anakula vipensi.Ila sijui lile zigo alilofungasha nyuma limepotelea wapi.

Tatizo lake umaarufu umemzidi nguvu, mkwanja hana,halafu still anataka kubaki kwenye spotlight wakati mpunga hana.
 
Kwa mawazo yangu nafikiri ana depression, ana tatizo kubwa la akili.. Kwa yaliyompata yeye na mwenzake Amberlulu, sikutarajia kama atajisifia kwamba ni muuzaji wa mwili..

Hivi karibuni pamekuapo na matukio ya kifedhuli kuhusiana na wasanii maarufu, na hao wanaonyesha kabisa ni wauzaji wa mwili, huku wakiishi fake life.. ni picha mbaya sana na mfano mbovu kwa kizazi Cha vijana wadogo..

Natarajia serikali ichukue HATUA Kali, isilikalie KIMYA hili. Gigy anarekodi video anajisifu anauza mwili, je ni mfano Gani anaonyesha wasichana wadogo ambao ni Taifa la kesho?? Mh. Dr Doroth Gwajima usilifumbie macho hili

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Dkt. Gwajima D hebu njoo utuambie hii imekaaje kuna lolote la kufanya au ndio uhuru wa mtu usiingiliwe
 
Umesema sahihi mkuu,sio swala la uhuru wa wakujiachia ila pia ni swala la picha wanayoibeba Binti zetu na dada zetu,Kwa mtu kama Giggy ambaye ana mabinti million 2 wanaomfuatilia na wengine kumwona kama role model wao,Serikali sikuvu iharakishe kuchukua hatua Kwa Hawa mbuzi laaah sivyo we are soooo futurely screwed
 
imagine mama yako anaona halafu anavutiwa halafu anaanza kufanya Porn... utafanyaje? utatetea pia?
Mhh kwani ww mama yako anaweza kufanya hivyo? Angalia unaloandika mkuu sidhani kama kuna mama aliezaa mtu mzima kabisa leo akaige yanayofanyika mitandaoni.

Najiuliza kwanini umetaja mama ila huenda unaona ipo chance ya wakwako kufanya hivyo kwahiyo unaogopa
 
Hizo Video ziko wapi? Au nyinyi ndio mna depression?
kula chuma hio kwanza..
FB_IMG_1700907066040.jpg
 
Alafu ni Mtu mmoja anawachakaza wote kwenye kitanda kile kile
Yaaah ni dogo janja mmoja anavirasta ivi yan picha linaanza anajiita ChumachaChuma aloo, kawakanyaga kudadek mpaka wanapiga kelele unatubakaaa, noma
 
Attachments

  • 5163DE7A-ED3E-4402-9736-6D7603DAD802.jpeg
    5163DE7A-ED3E-4402-9736-6D7603DAD802.jpeg
    352.9 KB · Views: 8
Nimeona na video jamaa yule yule anamchakaza amber lulu kudadeki yule malaya mbovu wa usa sijui kamtuma muhuni wapate engagement aloo jamaa anatembeza fimbo kiroho mbaya sana

Nipe nione km kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom