Gigy Money asaidiwe

Gigy Money asaidiwe

Kwa mawazo yangu nafikiri ana depression, ana tatizo kubwa la akili.. Kwa yaliyompata yeye na mwenzake Amberlulu, sikutarajia kama atajisifia kwamba ni muuzaji wa mwili..

Hivi karibuni pamekuapo na matukio ya kifedhuli kuhusiana na wasanii maarufu, na hao wanaonyesha kabisa ni wauzaji wa mwili, huku wakiishi fake life.. ni picha mbaya sana na mfano mbovu kwa kizazi Cha vijana wadogo..

Natarajia serikali ichukue HATUA Kali, isilikalie KIMYA hili. Gigy anarekodi video anajisifu anauza mwili, je ni mfano Gani anaonyesha wasichana wadogo ambao ni Taifa la kesho?? Mh. Dr Doroth Gwajima usilifumbie macho hili

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Weka hiyo video hapa kwanza, tuanzie hapo.
 
Yule ashajichoka yani binafsi ni kama kashakufa kirohoooo... kuishi maisha ya kistaaa kazi sana ndo maana wengi huishia kwenye madawa ya kulevyaa ni hatari stage aliyofika gigy ustaa jina ni mzigo mkubwa sana kuwa punda ubebe ngada chap tu..!! ukijumlisha na mtoto ambae anataka aishi maisha mazuri aiseee ni hatari snaa...
 
Kwa mawazo yangu nafikiri ana depression, ana tatizo kubwa la akili.. Kwa yaliyompata yeye na mwenzake Amberlulu, sikutarajia kama atajisifia kwamba ni muuzaji wa mwili..
Nadhani wewe ndio unahitaji kusaidiwa Sex has always sold and will always sell inategemea unamuuzia nani au unafaidika vipi, labda ungesema kwa Sheria za Tanzania hilo ni kosa kwahio akithibitika anafanya hilo kosa sheria zitachukua mkondo wake (ila binafsi na matatizo ya hii nchi sioni kama ni busara kutumia our hard earned cash kushughulika na watu wazima waliofanya maamuzi yao wenyewe) Bora niishi na kina Gigy elfu moja waojali maisha yao kuliko wewe mfuatiliaji na mtaka kupangia maisha ya watu
Hivi karibuni pamekuapo na matukio ya kifedhuli kuhusiana na wasanii maarufu, na hao wanaonyesha kabisa ni wauzaji wa mwili, huku wakiishi fake life.. ni picha mbaya sana na mfano mbovu kwa kizazi Cha vijana wadogo..
Unadhani sex imegunduliwa jana ? kama kijana wako mdogo role model wake ni Gigy nadhani wewe kama mzazi ulikosea sehemu na kama unadhani unaweza ukampangia kijana cha kufuata kama vile unavyonyonga mkono wa saaa nadhani haufahamu human nature..., Na cha maana ni kuwafundisha vijana wako right and wrong according to you ili wafuate na sio kuwaficha kwamba kuna mabaya yanafanyika
Natarajia serikali ichukue HATUA Kali, isilikalie KIMYA hili. Gigy anarekodi video anajisifu anauza mwili, je ni mfano Gani anaonyesha wasichana wadogo ambao ni Taifa la kesho?? Mh. Dr Doroth Gwajima usilifumbie macho hili

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Kama ingekuwa wanaofanya porn wanabadilisha wasichana wadogo wote wawe porn stars basi kila mtu angekuwa a porn actress.., these things are out there..., kama vile sinema za vita watu wanapigana risasi sidhani kama vijana wote watachukua bunduki kwenda kuwauwa wenzao...

Anyway view zako ni zako (To each his/their own) lakini impact ya a Police State kwangu mimi ni hatari zaidi kuliko hata kuishi na ma-porn actress kila corner
 
Tatizo mimi magroup niliyopo ya kilokole hawawezi kurusha 😂😂😂
Nkwambie kitu tafuta mlokole mwenzio mjanja mjanja mwite inbox mwambie ndigu yangu niwezeshe atakuelewa mimi hiyo video nkiweka hapa wananitandika ban moja kwa moja, au nenda twiter wameziachia, kwani ukienda twiter nani atajua kanisani ? Nenda kakemee pepo
 
Nipasie PM basi mkuu mboni tunanyimana hadi dhambi au mnataka Motoni muende peke yenu?
 
Kwa mawazo yangu nafikiri ana depression, ana tatizo kubwa la akili.. Kwa yaliyompata yeye na mwenzake Amberlulu, sikutarajia kama atajisifia kwamba ni muuzaji wa mwili..

Hivi karibuni pamekuapo na matukio ya kifedhuli kuhusiana na wasanii maarufu, na hao wanaonyesha kabisa ni wauzaji wa mwili, huku wakiishi fake life.. ni picha mbaya sana na mfano mbovu kwa kizazi Cha vijana wadogo..

Natarajia serikali ichukue HATUA Kali, isilikalie KIMYA hili. Gigy anarekodi video anajisifu anauza mwili, je ni mfano Gani anaonyesha wasichana wadogo ambao ni Taifa la kesho?? Mh. Dr Doroth Gwajima usilifumbie macho hili

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Bro kuna baadhi ya watu maisha yao ndio yameumbwa kuwa hivyo. Utapoteza tu muda.
 
Nkwambie kitu tafuta mlokole mwenzio mjanja mjanja mwite inbox mwambie ndigu yangu niwezeshe atakuelewa mimi hiyo video nkiweka hapa wananitandika ban moja kwa moja, au nenda twiter wameziachia, kwani ukienda twiter nani atajua kanisani ? Nenda kakemee pepo
Hawawezi mods nao wanataka kusafisha macho 🤣🤣🤣🤣
 
Muacheni afanye biashara zake alizochagua hii ni nchi huru.

Aibu ni yake na watoto wake wakikua waone mama yao alivokuwa analiwa tigo na kutiwa vidole vya matako.

Sema yule jamaa nayeye mshamba wa ngono ana papara sana
 
Back
Top Bottom