Gigy Money asaidiwe

Gigy Money asaidiwe

Huyu demu kwenye ubora wake alikuwa bonge la shepu na kumbuka kipindi kile Sam alikuwa anamwalika FNL,anakula vipensi.Ila sijui lile zigo alilofungasha nyuma limepotelea wapi.

Tatizo lake umaarufu umemzidi nguvu, mkwanja hana,halafu still anataka kubaki kwenye spotlight wakati mpunga hana.
Juliana na mapombe wapi na wapi

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
 
Kwani amefanyeje tena?😳
Wanamsingizia amebanduliwa video imevuja app ya mange
IMG_20231125_133622.jpg
 
Yule anaonyesha anapiga bange sanaa
Kwa mawazo yangu nafikiri ana depression, ana tatizo kubwa la akili.. Kwa yaliyompata yeye na mwenzake Amberlulu, sikutarajia kama atajisifia kwamba ni muuzaji wa mwili..

Hivi karibuni pamekuapo na matukio ya kifedhuli kuhusiana na wasanii maarufu, na hao wanaonyesha kabisa ni wauzaji wa mwili, huku wakiishi fake life.. ni picha mbaya sana na mfano mbovu kwa kizazi Cha vijana wadogo..

Natarajia serikali ichukue HATUA Kali, isilikalie KIMYA hili. Gigy anarekodi video anajisifu anauza mwili, je ni mfano Gani anaonyesha wasichana wadogo ambao ni Taifa la kesho?? Mh. Dr Doroth Gwajima usilifumbie macho hili

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
@dkt gwajima
 
Back
Top Bottom