Gigy Money asaidiwe

Gigy Money asaidiwe

Kwa mawazo yangu nafikiri ana depression, ana tatizo kubwa la akili.. Kwa yaliyompata yeye na mwenzake Amberlulu, sikutarajia kama atajisifia kwamba ni muuzaji wa mwili..

Hivi karibuni pamekuapo na matukio ya kifedhuli kuhusiana na wasanii maarufu, na hao wanaonyesha kabisa ni wauzaji wa mwili, huku wakiishi fake life.. ni picha mbaya sana na mfano mbovu kwa kizazi Cha vijana wadogo..

Natarajia serikali ichukue HATUA Kali, isilikalie KIMYA hili. Gigy anarekodi video anajisifu anauza mwili, je ni mfano Gani anaonyesha wasichana wadogo ambao ni Taifa la kesho?? Mh. Dr Doroth Gwajima usilifumbie macho hili

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Live your life mkuu. Serikali itashughulikia mangapi? Iache ipambane na ufisadi! maisha ya Gigy muachie mwenyewe. Hata wewe umeyajua baada ya kwenda kufukunyua mitandaoni.
 
Jamaa Mburundi anaishi US itakua kweli katumwa na mange, na atakua amepiga mpunga mrefu sana kushinda aliompa gigy
Hiyo app itakuwa inamlipa sana Mange. Mpaka anawalipa watu wamtumie connection 🤣🤣🤣. Sasa 2024 mwaka utakuwa wa Moto sana. Itabidi Mange aanzishe app maalum kwa ajili ya connection pekee 🤣🤣🤣🤣. Maana Mange analalamika watu ni wengi mpaka app inalemewa🤣
 
Back
Top Bottom