Gigy Money asaidiwe

Gigy Money asaidiwe

Na mimi niliwaza kama hivyo. Huyu binti anapitia kipindi kigumu sana kisaikolojia.

Amefanikiwa kupata jina kubwa mno kuliko mafanikio aliyokuwa nayo na hili ndilo hasa linalomuumiza.

Ukichunguza anakuwa na uadui na kila mtu anaehisi ana mafanikio kuliko yeye hasa wanawake wenzake. Anahisi kila wanachopata wenzie ilipaswa akipate yeye.

Gigy Money ni aina ya watu anaetarajia ukiwa karibu nae umpe tu, hata ikiwa anakutukana uendelee kumpa kila anachohitaji. Kinyume na hapo unakuwa ni adui yake.

Gigy Money analaumu kila mtu kwa kukosa kwake isipokuwa yeye mwenyewe. Anajiona yeye ni victim kila sehemu.
Huyu nammithilisha na Ruby. Fikra zao zote ni moja.

Huyu binti anahitaji counselling ya hali ya juu mno. Hakuna malaya anejivunia umalaya. Huyu anajitoa ufahamu ili kuridhisha nafsi yake tu.
Mtu anakiri na kujitapa kuwa Mama yake alimzalia chooni!! Yaani ilikuwa katikati ya kutumbukia chooni na ku survive, ila aka survive. Pili hata jina la ubini alilopewa ni kwamba mama yake alimuandika tu Stamford, lakini kiukweli huyu ni purely mtoto wa mtaani.
 
Back
Top Bottom