Gigy Money asaidiwe

Gigy Money asaidiwe

Mleta mada upo sahihi na haw member wanachangia issue nyingine ambayo sio lengo lako.

Kimsingi hata ukimuangalia kwa macho ya kawaida yule binti ana shida anahitaji msaada wa kisaikolojia. Jinsi anavyoongea tu unajua kabisa ana shida mahali. Mungu amsaidie kwa kweli.
Swali ni je yupo tayari kupokea huo msaada?
 
Umesema sahihi mkuu,sio swala la uhuru wa wakujiachia ila pia ni swala la picha wanayoibeba Binti zetu na dada zetu,Kwa mtu kama Giggy ambaye ana mabinti million 2 wanaomfuatilia na wengine kumwona kama role model wao,Serikali sikuvu iharakishe kuchukua hatua Kwa Hawa mbuzi laaah sivyo we are soooo futurely screwed
Yani kuna mabinti wanamuona Gigy kama role model wao🤣 Nawasikitikia sana hao mabinti!!
 
Back
Top Bottom