Gigy Money asaidiwe

Gigy Money asaidiwe

Peace,

Gigy money "Mimi siwezi kufoka wala kutukana, maumbile yangu hayaniruhusu" Baada ya miaka miwili "nye nye STUPID"

Hivi uligundua jambo gani hapa
We jamaa fala sana...
Kwa sisi wa Cuba Tumeelewa lakini Si kashamchomoa mfanyakazi wake jana aliyefanya uchokozi
 
Peace,

Gigy money "Mimi siwezi kufoka wala kutukana, maumbile yangu hayaniruhusu" Baada ya miaka miwili "nye nye STUPID"

Hivi uligundua jambo gani hapa
Kiufupi Gigy money amejikita sana katika kutaka huruma za Watu na jamii kwa ujumla watu wamuonee huruma (Public sympathy) ila kiukweli hakuna Mwanamke anakosa maovu kama uliyotaja mwanamke kaumbwa kuwa hivyo kujiona bora pale anapopewa nafasi...

Japo namshauri kuwa Mwnzoni hakuwa sahihi maana alitaka kupingana na nature ila kwa sasa yuko sawa
 
hothead-angry.gif
 
Kwa mawazo yangu nafikiri ana depression, ana tatizo kubwa la akili.. Kwa yaliyompata yeye na mwenzake Amberlulu, sikutarajia kama atajisifia kwamba ni muuzaji wa mwili..

Hivi karibuni pamekuapo na matukio ya kifedhuli kuhusiana na wasanii maarufu, na hao wanaonyesha kabisa ni wauzaji wa mwili, huku wakiishi fake life.. ni picha mbaya sana na mfano mbovu kwa kizazi Cha vijana wadogo..

Natarajia serikali ichukue HATUA Kali, isilikalie KIMYA hili. Gigy anarekodi video anajisifu anauza mwili, je ni mfano Gani anaonyesha wasichana wadogo ambao ni Taifa la kesho?? Mh. Dr Doroth Gwajima usilifumbie macho hili

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Umeanza vizuri kuwa huyu asaidiwe ila umemalizia vibaya kwa kumchongea kwa waziri.

Mi nilidhani ungemalizia kwa kumwombea kwa mamlaka zimsaidie kukuza kipaji chake hiki kipya.

Ametuonesha nasisi tunaweza kuwa na akina Cherokee d'Ass wetu wa apaapa.
 
Back
Top Bottom