Gigy Money asaidiwe

Gigy Money asaidiwe

Jana insta kulichafuka!!
Ila semaji naye anavyonyonya nyonyo kwa kudeka 🤣🤣🤣🤣
Yote tisa kumi gigy alivyoingia live kumchamba Mange khaaa!! Nyie gigy mkavu
Ila wanyaki wana balaa kutoka Amber rutty mpk gigy na amber Lulu 😂😂😂
Bado record inashikiliwa na green city
 
Jana insta kulichafuka!!
Ila semaji naye anavyonyonya nyonyo kwa kudeka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yote tisa kumi gigy alivyoingia live kumchamba Mange khaaa!! Nyie gigy mkavu
Ila wanyaki wana balaa kutoka Amber rutty mpk gigy na amber Lulu [emoji23][emoji23][emoji23]
Bado record inashikiliwa na green city
Ugumu wa maisha unafanya watu wauze nafsi zao
 
Huwezi kumsaidia mtu ambaye hajisaidii. Hawa wasanii wana matukio mengi sana ya kishenzi ambayo mengi hayapostiwi. Gigy abebe msalaba wake na kama anataka kujinyonga afanye hivyo kwa haraka. Serikali imkamate yeye na huyo mwanaume wake watandikwe mvua kadhaa ili iwe fundisho kwa wengine.
 
Back
Top Bottom