Gigy Money asaidiwe

Gigy Money asaidiwe

Peace,

Gigy money "Mimi siwezi kufoka wala kutukana, maumbile yangu hayaniruhusu" Baada ya miaka miwili "nye nye STUPID"

Hivi uligundua jambo gani hapa
Nimegundua ngoma huanza kwa steps ndogondogo, mauno ni mbele huko mikito inaponoga.
 
Huwezi kumsaidia mtu ambaye hajisaidii. Hawa wasanii wana matukio mengi sana ya kishenzi ambayo mengi hayapostiwi. Gigy abebe msalaba wake na kama anataka kujinyonga afanye hivyo kwa haraka. Serikali imkamate yeye na huyo mwanaume wake watandikwe mvua kadhaa ili iwe fundisho kwa wengine.
Mzee wa tunduma uko kwenu hakuna wa kina gigy? 🤣🤣🤣
 
We jamaa fala sana...
Kwa sisi wa Cuba Tumeelewa lakini Si kashamchomoa mfanyakazi wake jana aliyefanya uchokozi
ni kweli arabuni tende uswazi supu ya mkia ila mantiki ya kujikosha na kujigrade hakuna jipya ni roporopoka mule mule au hata zaidi
 
Kiufupi Gigy money amejikita sana katika kutaka huruma za Watu na jamii kwa ujumla watu wamuonee huruma (Public sympathy) ila kiukweli hakuna Mwanamke anakosa maovu kama uliyotaja mwanamke kaumbwa kuwa hivyo kujiona bora pale anapopewa nafasi...

Japo namshauri kuwa Mwnzoni hakuwa sahihi maana alitaka kupingana na nature ila kwa sasa yuko sawa
haswaaaa samaki harudi rivasi sasa Gigy akataka kuikosoa nature matukio karudi mule mule, awali wenge sana alitaka aonekane guardian angle abadani kweli limao kwa maziwa kuganda mubashara.
 
Mkuu nahamu sana nijue alipo.kila.nilie soma nae tukikutana nikimuulizia flani yuko wapi hawajui.. sijui ashakufaga ila naomba sana isiwe hivyo mpaka nikutanishwe nae.
Ni mimi. Nimetoka Church hapa TAG. Naomba unisamehe bro, yalishapita. Tusameheane bro leo duniani na kesho ahera.
 
Back
Top Bottom