92 jerrie
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 7,273
- 16,705
Huyu aende kairo ama mississipiTumpe mji huyu nabii 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu aende kairo ama mississipiTumpe mji huyu nabii 😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kweli uzuri wa mtu uko machoni pa muangaliaji
Nabii ana sura kama anapuliza moto aseee
P wa Wolper ana shida gani?
🤣🤣🤣🤣🤣Nabii kanyoa kiduku Cha kitapeli kabisa [emoji28]View attachment 2724546
mimi naona ni publicity stunt, mchungaji anawalipa wamtangazie biasharaKweli uzuri wa mtu uko machoni pa muangaliaji
Nabii ana sura kama anapuliza moto aseee
P wa Wolper ana shida gani?
Aaah kaka Haya mambo yalishakatazwa....Kwani kuna kunyoa kilokole?
Sioni kama kuna shida kwa huo mtindo
Usiniambie macho yako yameona mtumishi ni pisi kali🤣🤣🤣🤣🤣🤣
mimi naona ni publicity stunt, mchungaji anawalipa wamtangazie biashara
Na tukapigika🤣🤣🤣🤣🤣Huyo nabii TUMEPIGWA
Pia Hao waumini TUMEPIGWA[emoji28]
Kiujumla Tasnia ya ibada tumepigwa[emoji1787]
Kila mmoja kachukua uamuzi wa kuungana na nabii kwa sababu zake.
1. Tuanze na sababu za Gigy money [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
"Nilipagawa na Nabii ndio maana nimekuja Kanisani"- Gigy Money
"Mimi nimeanguka sana japo siwezi kusema nilianguka wapi, na pia naweza kusema siyo kila Nabii ninaemuona naweza kwenda kwenye kanisa lake, mimi ni Gigy Money nadhani mnajua, lakini pia nina ile hali kwamba watanionaje nikienda kanisani. Nilivyomuona Prophet Malisa kwa mara ya kwanza nilichanganyikiwa nikasema eeeh mbona Nabii Handsome hivi[emoji848] nikasema mtu kama huyu alifaa kuwa video King kwenye nyimbo za wasanii inakuwaje anamtumikia Mungu? lazima ana kitu"
"Nikasema mbona yupo kwa Mungu na uzuri wote huu, nikasema ngoja nimsikilize, ndio maana nimekuja hapa kusikiliza kilichopo ndani ya Nabii huyu"- Gigy Money.
2. Sababu Kutoka Kwa Wolper [emoji116][emoji116][emoji116]
"Prophet Malisa Nimekuwa Nakufatilia Saana You tube Nikapendezwa na Mahubiri yako,Nilipoingia Mahali hapa Nilipokea nguvu ya Mungu ndani yangu, Kwenye nyumba ya Mungu Mtu ukivaa miwani kama hii niliyovaa inakuwa ni kama vile Namzoom Mungu lakini Mimi nimevaa sio Kama nimependa kuvaa Nikama macho yangu yamevimbaa Kwa kulia,.wiki nzima hii Nimekuwa nikilia tuu kwajili ya Mtoto wangu P ,,Naamini kifika kwenye Madhabau hii Mwanangu P anakwenda kupokea Uponyaji,,
Kila la kheri na safari yao ya imani [emoji120][emoji120]
View attachment 2724535View attachment 2724537
Mkuu unagusa pabaya mkuuHata Ontario alikua ananyoa hivyo,
Watu Walivyoambiwa wakakaza shingo
Kilichofuata Ni kilio kusaga na meno[emoji28]
Kivipiwolper ze tilapia
watu tunamsema ila tupo busy kutafuta file lakesasa itakuwaje maskiini..!!