Clueless14
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,108
- 4,751
Boss upo?Huyu dada nae, yaani mshahara wangu wa miezi minne anasema what is laki tano?
nipo kaka: salama lakini.Boss upo?
salama aisee japo mjini figisu figisu nyingi sana.....tatizo maceleb wetu uchwara sana bossnipo kaka: salama lakini.
ni kweli kaka hawa watu wanaishi maisha ya maigizo. otherwise mambo mengine vipi mkuu.s
salama aisee japo mjini figisu figisu nyingi sana.....tatizo maceleb wetu uchwara sana boss
Nilifikiri peke yangu kumbe na weweHilichonistaabisha ni huyu mdada kuuponda huo wimbo kwamba ni wa hovyo ila cha kushangaza ameshriki kwenye video ya huo wimbo na pesa anadai, amenivuruga kwa kweli
swalama tu mkuu.....nakomaa na jiji tuni kweli kaka hawa watu wanaishi maisha ya maigizo. otherwise mambo mengine vipi mkuu.
Labda Mimi nimemuelewa vibaya, hajaponda wimbo, ila amemshangaa Ney kwa kuimba wenzie vibaya kumbe nae anamatatizo yake.Hilichonistaabisha ni huyu mdada kuuponda huo wimbo kwamba ni wa hovyo ila cha kushangaza ameshriki kwenye video ya huo wimbo na pesa anadai, amenivuruga kwa kweli
Kukomaa ndio kauli mbiu mkuu, best of luck..swalama tu mkuu.....nakomaa na jiji tu
Mi naona we hajakuvurugaHilichonistaabisha ni huyu mdada kuuponda huo wimbo kwamba ni wa hovyo ila cha kushangaza ameshriki kwenye video ya huo wimbo na pesa anadai, amenivuruga kwa kweli
sawia kabisa mkuu, ila credits kwa mara nyingine ziende kwenye avatar yako....Kukomaa ndio kauli mbiu mkuu, best of luck..
Tunaomba...kwa heshima yakoooo Badilisha Avatar...haivutii inakera..kama unatupenda Dada zaoo humu..tusikilizeeeAsante kwa ushauri wako mkuu.
Kwanza nimepata hisia za kwamba, umekua mfuatiliaji wa maandishi yangu na bila shaka yanakuvutia[emoji1].
Asante kwa hilo.
Pili naomba nikiri kabisa kwamba avatar yangu nimeamua kuiacha kwa makusudi kabisa sababu naiona kama ndio kitambulisho changu muhimu na kipekee sana humu jf.
Pia nikiri kwamba wapo wengi walio wahi niambia kwamba wanachukizwa sana na hii avatar yangu.