Gigy Money: Ney wa Mitego ni mpumbavu, hajitambui

Gigy Money: Ney wa Mitego ni mpumbavu, hajitambui

Mzungu hudai kila senti aliyoifanyia kazi, ukimzingua anakupeleka mahakamani. Mzungu haachi haki yake ipotee kizembe
 
s

salama aisee japo mjini figisu figisu nyingi sana.....tatizo maceleb wetu uchwara sana boss
ni kweli kaka hawa watu wanaishi maisha ya maigizo. otherwise mambo mengine vipi mkuu.
 
Hilichonistaabisha ni huyu mdada kuuponda huo wimbo kwamba ni wa hovyo ila cha kushangaza ameshriki kwenye video ya huo wimbo na pesa anadai, amenivuruga kwa kweli
Nilifikiri peke yangu kumbe na wewe
 
Hilichonistaabisha ni huyu mdada kuuponda huo wimbo kwamba ni wa hovyo ila cha kushangaza ameshriki kwenye video ya huo wimbo na pesa anadai, amenivuruga kwa kweli
Labda Mimi nimemuelewa vibaya, hajaponda wimbo, ila amemshangaa Ney kwa kuimba wenzie vibaya kumbe nae anamatatizo yake.
 
Hilichonistaabisha ni huyu mdada kuuponda huo wimbo kwamba ni wa hovyo ila cha kushangaza ameshriki kwenye video ya huo wimbo na pesa anadai, amenivuruga kwa kweli
Mi naona we hajakuvuruga
 
dada zangu wa mjini hayo maisha ya kuigaiga wazungu yanawadharaulisha kwa watu kwenye akilii timamu,eti ningekua mswahili ningemdaidai nachukulia uzungu!! huon aibu!?
 
Asante kwa ushauri wako mkuu.
Kwanza nimepata hisia za kwamba, umekua mfuatiliaji wa maandishi yangu na bila shaka yanakuvutia[emoji1].
Asante kwa hilo.
Pili naomba nikiri kabisa kwamba avatar yangu nimeamua kuiacha kwa makusudi kabisa sababu naiona kama ndio kitambulisho changu muhimu na kipekee sana humu jf.
Pia nikiri kwamba wapo wengi walio wahi niambia kwamba wanachukizwa sana na hii avatar yangu.
Tunaomba...kwa heshima yakoooo Badilisha Avatar...haivutii inakera..kama unatupenda Dada zaoo humu..tusikilizeee
 
HV hz airtime anazopewa Hutu Gigi money za nn Hawa?she is a video queen right sa hz zote anahojiwa humu Mara kule anahojiwa kama nani while sio msanii wala mwanaaiasa?
 
Back
Top Bottom