Gigy Money: Nimeshatembea na Kiba, Mavoko na Hemed PhD, walinitongoza instagram

Ila huyu Gigy ana roho fulani chafu inayomfatilia..maana hata utandawazi effect yake haiwi hivi au sio mshana jr [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Umalaya tu huo,na huyo uliempata unampenda kwa hela zake na sio mapenzi ya kweli,jipu wewe.
 
Huyu dada show off sana, nafikiri ni mbinu yake ya kuongeza wateja, na anaposema eti walinitongoza kupitia insta ni kama anatujulisha kwamba anapatikana kwa njia hiyo.
Anawachezesha watu ngoma na wao wanacheza..Lengo lake linatimia..Halafu huyu Hemed nilikuwaga simuelewi..Bora Giggy amejibu baadhi ya maswali
 
shikamoo Robert Mugabe kweli "..... mwanamke akiwa mzuri halafu kichwani kukiwa hamna kitu, basi sehemu zake za siri ndizo zitakazopata shida zaidi....."
 
hana lolote hyo kipindi hiki cha majipu hakuna buzi wa laki 500 kila siku
 
kumbe gigy money mwanamke! ujio wake umeambatana na kutoweka kwa sukari hatuna hamu nao.
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
aache uongo bei ya sepetunga ni laki 5 kwa siku mbili full board...sembuse yeye
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350] [emoji350]
 
hapo nadhani hamjamuelewa

nafikiri alimaanisha" kila akikojozwa anapewa hyo laki 5" na sio kila day inayoitwa leo anapewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…