Gigy Money: Nimeshatembea na Kiba, Mavoko na Hemed PhD, walinitongoza instagram

Gigy Money: Nimeshatembea na Kiba, Mavoko na Hemed PhD, walinitongoza instagram


Mimi ukianza basi huwa namaliza Mkuu au hujanijua vizuri? Principle yangu Kuu ni ile ile na haitobadilika hadi labda nifike Mbinguni ambapo " Wewe ukijamba Mimi naharisha kabisa ".
 
Huyo anayempa kila siku Tsh Laki tano TRA wameshakata percent yao hapo au? Halafu Watanzania tunapenda sana kupeana " mvua " ( kudanganyana ). Hivi kuna Mtanzania tajiri mwenye jeuri ya kuhonga kila siku Tsh 500,000/ kwa Demu / Mwanamke? Hiyo " K " unayoigharamikia hivyo ina bluetooth au internal memory card? Haya maisha ya video ndiyo yanatuponza na kutupoteza sana Watanzania kila kukicha kudadadeki zetu.
Na bora ingekuwa na password uimiliki mwenyewe ila ndio wana loweka kamba zao hata mateja.
 
Wasichana wa bongo tangu wagundue instagram ni shida kweli.
 
Laki tano kila siku!
Huenda alipewa siku ya kwanza na mzigo akaachia akajua ni mteremko

Jamaa yake si ndio huyu hapa anasepa[emoji188]
 
Back
Top Bottom