Gigy Money: Nimeshatembea na Kiba, Mavoko na Hemed PhD, walinitongoza instagram

Gigy Money: Nimeshatembea na Kiba, Mavoko na Hemed PhD, walinitongoza instagram

Mimi ukianza basi huwa namaliza Mkuu au hujanijua vizuri? Principle yangu Kuu ni ile ile na haitobadilika hadi labda nifike Mbinguni ambapo " Wewe ukijamba Mimi naharisha kabisa ".
nakuvutia kasi utaomba poo tu
 
hahahaha naona anataka kumfunika wema sepetu kwa umaarufu
WEMA SEPETU ni mtambo aisee! anaweza kutembea peku (bila viatu) nje ya geti lake na ikawa habari ya dunia! je akipiga picha za utupu kama gigy unafikiri itakuaje!
 
Hiyu Gigy sio mzima kichwani naona kuna funza badala ya ubongo
 
nakuvutia kasi utaomba poo tu

Naisubiri kwa hamu sana hiyo siku ifike ili na Mimi pia nifukue makombora yangu mengine aina ya " Bunker Buster " niliyoyahifadhi MAALUM kwa Watu wenye VIMBELEMBELE na VISUNUNU kwangu kama Wewe. Na nitakunyoosha haswa Mkuu!
 
Msanii wa anayetikisa kwa sasa Dar ya Makonda Gigy Money amefunguka leo kwenye Planet bongo ya East Africa radio kwamba ameshatembea na Ali Kiba, Rich Mavoko na Hemed PhD kwa nyakati tofauti na wote walimtongoza kwenye mtandao wa instagram.

Gigy Money amesema kwa sasa amefunga Dm yake instagram sababu ya kuondoa usumbufu wa wanaume wanaomtaka kila leo. Kwa sasa amepata sponsor anaempa pesa nyingi almost laki 5 kila siku hivyo hana mpango wa kupata bwana mwingine labda atokee mwenye hela zaidi.
Hahahahahahaha, laki5 kila siku kwa arithmetic za haraka² it means kwa mwezi anaingiza Tshs. 15M sio? Kwa kazi gani hiyo
 
Hivi Gadna nae anatoa huo mshiko kila siku?
kwa hela ipi aliyokuwa nayo!jide kamuacha pale ubungo mataa anashangaa,chezea mwanaume kulishwa na mwanamke afu ulete nyodo,yani unaachwa ndi ndi ndi.
 
kwa hela ipi aliyokuwa nayo!jide kamuacha pale ubungo mataa anashangaa,chezea mwanaume kulishwa na mwanamke afu ulete nyodo,yani unaachwa ndi ndi ndi.
Kaka wakati mwingine kwa maisha ya kimjini ufundi wa kitandani ni mtaji. Yawezekana jamaa anategemea saaana maufundi ili aishi mjini
 
h
Kaka wakati mwingine kwa maisha ya kimjini ufundi wa kitandani ni mtaji. Yawezekana jamaa anategemea saaana maufundi ili aishi mjini
ahahahah,aiseeee hilo nalo neno,mjini msingi kiuno au sio.
 
Mama yake Gigy atakuwa ameshalia na sasa amenyanyua mikono juu.
Mama wala hana shida, kuna siku Gigy alikuwa anahojiwa kwenye kipindi cha THE BASE ITV akulizwa vipi wazazi wako wanakuchukuliaje akasema nina mzazi mmoja tu, baba angu alisha fariki ila mama hana noma maana hata yeye alikuwa kama mimi, mambo ya umiss na mitoko ya dansi, ila ananiambiaga tu mwanagu wewe umezidi. Hapo mazazi kabariki ila anashauri apunguze atalia nini?
 
Kama familia imejengwa katika misingi ya namna hiyo usitegemee geni kutoka kwa huyo binti labda watokee washauri wa kisaikolojia ndio wanaweza kumkomboa kutoka katika hizo fikra.
Binti hajui baya wala zuri, lipi nifanye hadharani na lipi chumbani. Kwake kila kitu ni sawa. Hajui muda unataradadi, ikifika ukomo wa hayo maujinga kuwatafuta watu wa kuishi nae itakuwa ni ndoto.
 
Malezi mabovu ndio yaliyo mfikisha hapo, wazazi wengine wanahimiza watoto sjule, wengine wana himiza watoto wao kujiangalia maumbile yao, binti anakua akijua TAKO ndio msingi wa maendeleo, watavuna wapandacho.
 
Back
Top Bottom