Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AMESEMA ANAPEWA PESA SIO UFUNDIKaka wakati mwingine kwa maisha ya kimjini ufundi wa kitandani ni mtaji. Yawezekana jamaa anategemea saaana maufundi ili aishi mjini
Samahani mkuu hapo tulikuwa tunamuongelea Gadna sio huyo mapepe Giggy na tukafikia hapo ulipoikuta hiyo commentAMESEMA ANAPEWA PESA SIO UFUNDI
AND BY THE WAY KWA AKILI ZA HUYU GIGI MANE HATA UTAMIU HASIKII YE ANAWAZIA MAPENE TU WAKATI UNAHANGAIKA KUPIGA BAO YE ANAHANGAIKA KUPIGA HESABU YA MATUMIZI YA PESA UTAKAYOMPATIA
Samahani mkuu hapo tulikuwa tunamuongelea Gadna sio huyo mapepe Giggy na tukafikia hapo ulipoikuta hiyo comment
Ok..Nimesikia pia ana mtoto mkali..Zamani nilikuwa nadhani sio mwenzetu
nimeshapata details zako kumbe huna lolote unajifanya mjanja ukiwa nyuma ya keyboard .soon nitakuumbua maana umedandia treni kwa mbele .ungeuliza kwanza wenzako halafu ndiyo ungetafuta bifuNaisubiri kwa hamu sana hiyo siku ifike ili na Mimi pia nifukue makombora yangu mengine aina ya " Bunker Buster " niliyoyahifadhi MAALUM kwa Watu wenye VIMBELEMBELE na VISUNUNU kwangu kama Wewe. Na nitakunyoosha haswa Mkuu!
HIHIHIH KWAVILE MREMBO NA ANA SWAG ZA KISCHANA UKAJUA WANAMTINDUA EEE LAZMA AWE NA MTOTO MKALI YE MWENYEWE YUKOPOA KISURAOk..Nimesikia pia ana mtoto mkali..Zamani nilikuwa nadhani sio mwenzetu
Unanunua 'K' 😛😛😛😛😛😛
WEEE HUJAWAHI MLAMBA WALA NN UNA LAKI 5?Ina harufu fulani hivi ya kuvunda hahahaha ila inatia genye
Noo..nasikia Gigy karith kwa *****! Mamake is proud na tena kamwambia "vya kurithu vinazidi"Mama yake Gigy atakuwa ameshalia na sasa amenyanyua mikono juu.
Laki tano kwa siku?,kwa mwezi anakula 15M, huu ni UBUYU hakuna ukweli hapaMsanii wa anayetikisa kwa sasa Dar ya Makonda Gigy Money amefunguka leo kwenye Planet bongo ya East Africa radio kwamba ameshatembea na Ali Kiba, Rich Mavoko na Hemed PhD kwa nyakati tofauti na wote walimtongoza kwenye mtandao wa instagram.
Gigy Money amesema kwa sasa amefunga Dm yake instagram sababu ya kuondoa usumbufu wa wanaume wanaomtaka kila leo. Kwa sasa amepata sponsor anaempa pesa nyingi almost laki 5 kila siku hivyo hana mpango wa kupata bwana mwingine labda atokee mwenye hela zaidi.
Laki tano kwa siku?,kwa mwezi anakula 15M, huu ni UBUYU hakuna ukweli hapa
mma I mbombo ngafuAhaa Kikolo naona unamtia hamasa kalumbu...teh teh
kaazi kweli kweliAsiye na dhambi na awe wa kwanza kumtupia jiwe.