Gigy Money: Nimeshatembea na Kiba, Mavoko na Hemed PhD, walinitongoza instagram

Gigy Money: Nimeshatembea na Kiba, Mavoko na Hemed PhD, walinitongoza instagram

Mi mwny namtafuta sana ili nimgegede mpaka kucheee, maana kama anatangaza mwnyewe
 
Kaka wakati mwingine kwa maisha ya kimjini ufundi wa kitandani ni mtaji. Yawezekana jamaa anategemea saaana maufundi ili aishi mjini
AMESEMA ANAPEWA PESA SIO UFUNDI

AND BY THE WAY KWA AKILI ZA HUYU GIGI MANE HATA UTAMIU HASIKII YE ANAWAZIA MAPENE TU WAKATI UNAHANGAIKA KUPIGA BAO YE ANAHANGAIKA KUPIGA HESABU YA MATUMIZI YA PESA UTAKAYOMPATIA
 
AMESEMA ANAPEWA PESA SIO UFUNDI

AND BY THE WAY KWA AKILI ZA HUYU GIGI MANE HATA UTAMIU HASIKII YE ANAWAZIA MAPENE TU WAKATI UNAHANGAIKA KUPIGA BAO YE ANAHANGAIKA KUPIGA HESABU YA MATUMIZI YA PESA UTAKAYOMPATIA
Samahani mkuu hapo tulikuwa tunamuongelea Gadna sio huyo mapepe Giggy na tukafikia hapo ulipoikuta hiyo comment
 
Samahani mkuu hapo tulikuwa tunamuongelea Gadna sio huyo mapepe Giggy na tukafikia hapo ulipoikuta hiyo comment


HAHA HATA YEYE MAGOLI YAKE NI HEWA TU YAANI.,,,, "IN LADY JD VOICE'" NIMENUKUU MKUU USIJE NIRUKIA MANGUMI BURE
 
Naisubiri kwa hamu sana hiyo siku ifike ili na Mimi pia nifukue makombora yangu mengine aina ya " Bunker Buster " niliyoyahifadhi MAALUM kwa Watu wenye VIMBELEMBELE na VISUNUNU kwangu kama Wewe. Na nitakunyoosha haswa Mkuu!
nimeshapata details zako kumbe huna lolote unajifanya mjanja ukiwa nyuma ya keyboard .soon nitakuumbua maana umedandia treni kwa mbele .ungeuliza kwanza wenzako halafu ndiyo ungetafuta bifu
 
Ok..Nimesikia pia ana mtoto mkali..Zamani nilikuwa nadhani sio mwenzetu
HIHIHIH KWAVILE MREMBO NA ANA SWAG ZA KISCHANA UKAJUA WANAMTINDUA EEE LAZMA AWE NA MTOTO MKALI YE MWENYEWE YUKOPOA KISURA

UNLESS AWE NA KIBAMIA..
 
Msanii wa anayetikisa kwa sasa Dar ya Makonda Gigy Money amefunguka leo kwenye Planet bongo ya East Africa radio kwamba ameshatembea na Ali Kiba, Rich Mavoko na Hemed PhD kwa nyakati tofauti na wote walimtongoza kwenye mtandao wa instagram.

Gigy Money amesema kwa sasa amefunga Dm yake instagram sababu ya kuondoa usumbufu wa wanaume wanaomtaka kila leo. Kwa sasa amepata sponsor anaempa pesa nyingi almost laki 5 kila siku hivyo hana mpango wa kupata bwana mwingine labda atokee mwenye hela zaidi.
Laki tano kwa siku?,kwa mwezi anakula 15M, huu ni UBUYU hakuna ukweli hapa
 
Huyo jamaa anayempa hiyo 500,000 atakuwa ni mfanyabiashara wa sukari! Na Magufuli huyu anapata wapi jeuri ya kufurukuta hizo lai 5,5 kilasiku?
 
Lakitano kwa siku huyo nahis no milionea. Anakaribia kuunisa utajiri
 
Kama wasanii wanauwezo wa kugharamia video ya dakika tatu kwa milioni 60, watashindwa nini kumpa gigy ambaye anagawa utamu kwa bei hiyo kwa kipindi cha miezi miwili?
Hebu angalia,bora utoe milioni 60 kwa dakika tatu kisha video isikupe mafanikio ama umpe gigy kiasi hiko akakutoa mawazo na huenda akakupa na kamtoto?
YNWA
 
Llaki tano eeeh kwa siku???? sinza ambiance utawakojoza makahaba 150
 
Back
Top Bottom