Gigy Money: Sipendi kufanya Mapenzi, hata Boyfriend wangu anajua

Gigy.jpg

Video queen ambaye haishiwi vituko, Gigy Money amefunguka kwa kusema kuwa yeye siyo mtu wa kupenda kufanya mapenzi kama watu wanavyodhani.

Akizungumza na Bongo5, Gigy amesema maisha aliyopitia yamemfanya awe ni mwanamke asiyependa kufanya mapenzi.

“Mimi nimepoteza ile ari ya kufanya mapenzi au kuwa na mpenzi mmoja au nijiachie na mwanaume kama mtu na mpenzi wake siwezi, sasa hivi natafuta maisha, pesa mbele,” alisema Gigy. “Kama yeye ana wivu na mimi, mimi sina wivu na mwanaume,”

Gigy amesema taarifa za kwenye mitandao ya kijamii kwamba anajiuza siyo za kweli, kwani yeye ana mwanaume ambaye anamuudumia kila kitu ingawa hawafanyi mapenzi.

“Nina mtu ambaye ananihudumia, ananipa mtaji ya biashara zangu. Pia hata kwenye muziki anawekeza pesa yake. Kwa hiyo waache wanifikie hivyo wanavyofikiria, mimi nafikiria navyojijua, mimi nipo tofauti sana na wanavyozungumza, ukijaribu kukaa na watu wangu wa karibu watakwambia,” alisema Gigy.
Hapo kwenye red bold mbona haiendani na alichosema kwenye paragraph ya mwisho kwamba mwanaume huyo anamhudumia ila hafanyi naye mapenzi?
 
nna boyfriend wangu ananihudumia kila kitu lkn hatufanyi mapenzi,we bibie wewe!!!!. unatania au? mmh kuna mwanaume wa hivo ngosha land hii?? ila kambinu sio kabaya sana wapo humu wanaojua kutumia aina yako watakutafuta tu!!

Mkuu mbona sijaona nukuu ya hiyo sentensi kutoka kwa gigy money, au jamaa kamlisha maneno kunogesha story?
 
Mkuu huwa unatembelea page yake ya instagram?..[/QUpiOTE]
Siku moja nilitaka nimuone huyo anayepewa kick hivyo anafananaje,nikaishia kuona anajibinua tu halaf nyuma flat,ugly face ,big mouth.Kifupi she dont deserve the kicks,Aleast masogange analipa
 
Ndiyo ukweli.... Akili zimeamia kwenye mzigo tu.

sister siyo siri dada yng. Wanaume wa Dar-Es-Salaam wengi wetu tunahusudu mno mizigo. Yaani hata barabarani ukipishana na mdada mwenye mzigo ni lazima ugeuke kumtazama. Hilo halina ubishi.
 
anavaa Machupi mabaya utadhani kavaa singlend, afu wanatukalia uchi,
 
eenh bana, maana ngosha sometimes unaweza usimuelewe staili yake ya uongozi, sometimes unaona kama kuna unafuu sometimes unaona tress tupu...
Mie ndo kanipoteza kabisa akati unafurahia jipu linatumbuliwa mara unastuka sukari haina chai, waifu anarudi toka sokoni anakuambia nyama imepanda bei hujakaa sawa ngosha anatangaza ahueni ya umeme yaaan mie mpk presha aseeee
 
Gigy ni Chura kidizaini fulani hivi. Angalau nimeondoa stress kabla ya kuzifuata tena jukwaa la siasa.
 
Mie ndo kanipoteza kabisa akati unafurahia jipu linatumbuliwa mara unastuka sukari haina chai, waifu anarudi toka sokoni anakuambia nyama imepanda bei hujakaa sawa ngosha anatangaza ahueni ya umeme yaaan mie mpk presha aseeee

Hahaaaa umeifanya siku yangu iwe ya furaha asee! jf burudani sana asee! Maranyingi nkiwa na stress nakuja huku kubalizi!!
 
Gigy.jpg

Video queen ambaye haishiwi vituko, Gigy Money amefunguka kwa kusema kuwa yeye siyo mtu wa kupenda kufanya mapenzi kama watu wanavyodhani.

Akizungumza na Bongo5, Gigy amesema maisha aliyopitia yamemfanya awe ni mwanamke asiyependa kufanya mapenzi.

“Mimi nimepoteza ile ari ya kufanya mapenzi au kuwa na mpenzi mmoja au nijiachie na mwanaume kama mtu na mpenzi wake siwezi, sasa hivi natafuta maisha, pesa mbele,” alisema Gigy. “Kama yeye ana wivu na mimi, mimi sina wivu na mwanaume,”

Gigy amesema taarifa za kwenye mitandao ya kijamii kwamba anajiuza siyo za kweli, kwani yeye ana mwanaume ambaye anamuudumia kila kitu ingawa hawafanyi mapenzi.

“Nina mtu ambaye ananihudumia, ananipa mtaji ya biashara zangu. Pia hata kwenye muziki anawekeza pesa yake. Kwa hiyo waache wanifikie hivyo wanavyofikiria, mimi nafikiria navyojijua, mimi nipo tofauti sana na wanavyozungumza, ukijaribu kukaa na watu wangu wa karibu watakwambia,” alisema Gigy.
Huyo mwanaume bwege anawekeza pesa harafu hafumui papuchi
 
sister siyo siri dada yng. Wanaume wa Dar-Es-Salaam wengi wetu tunahusudu mno mizigo. Yaani hata barabarani ukipishana na mdada mwenye mzigo ni lazima ugeuke kumtazama. Hilo halina ubishi.
Ndiyo na sisi tumehamisha mapenzi kwa wageni ambao hawahusudu mizigo.
 
Huyo mwanaume bwege anawekeza pesa harafu hafumui papuchi
Hii dunia ina watu wa ajabu mpaka aibu unaona wewe, lkn poa mungu angetuumba sawa tusingecheka
 
Huyu demu anatafunwa vibaya, mbaya zaidi haangalii wa kumpa K, akishapiga bangi zake nye** zinapanda
 
Back
Top Bottom