Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaaA...mbona unamchimba mwenzio hivii?!teh teh teh
kwa hiyo mkuu, hupendi watoto flat huko nyuma au hupendi vichwa maji kama huyu??
Na huo mkono ndio umeishia wapi, ndio advert?![]()
Video queen ambaye haishiwi vituko, Gigy Money amefunguka kwa kusema kuwa yeye siyo mtu wa kupenda kufanya mapenzi kama watu wanavyodhani.
Akizungumza na Bongo5, Gigy amesema maisha aliyopitia yamemfanya awe ni mwanamke asiyependa kufanya mapenzi.
“Mimi nimepoteza ile ari ya kufanya mapenzi au kuwa na mpenzi mmoja au nijiachie na mwanaume kama mtu na mpenzi wake siwezi, sasa hivi natafuta maisha, pesa mbele,” alisema Gigy. “Kama yeye ana wivu na mimi, mimi sina wivu na mwanaume,”
Gigy amesema taarifa za kwenye mitandao ya kijamii kwamba anajiuza siyo za kweli, kwani yeye ana mwanaume ambaye anamuudumia kila kitu ingawa hawafanyi mapenzi.
“Nina mtu ambaye ananihudumia, ananipa mtaji ya biashara zangu. Pia hata kwenye muziki anawekeza pesa yake. Kwa hiyo waache wanifikie hivyo wanavyofikiria, mimi nafikiria navyojijua, mimi nipo tofauti sana na wanavyozungumza, ukijaribu kukaa na watu wangu wa karibu watakwambia,” alisema Gigy.
Ni kweli kabisa na autoe wapi huo wivu kama sio atakuwa ana act tu maana kila siku ana chezea fito tofauti.siku zote "kahaba" hawezi kuwa na wivu kwa mwanaume kwani anao wengi na yuko kibiashara zaidi!
Haaaaa kajibinuwa hapoMwambie asimame ageuke,uangalie alivyo flat..au tembelea instagram page yake sasa hivi
![]()
Video queen ambaye haishiwi vituko, Gigy Money amefunguka kwa kusema kuwa yeye siyo mtu wa kupenda kufanya mapenzi kama watu wanavyodhani.
Akizungumza na Bongo5, Gigy amesema maisha aliyopitia yamemfanya awe ni mwanamke asiyependa kufanya mapenzi.
“Mimi nimepoteza ile ari ya kufanya mapenzi au kuwa na mpenzi mmoja au nijiachie na mwanaume kama mtu na mpenzi wake siwezi, sasa hivi natafuta maisha, pesa mbele,” alisema Gigy. “Kama yeye ana wivu na mimi, mimi sina wivu na mwanaume,”
Gigy amesema taarifa za kwenye mitandao ya kijamii kwamba anajiuza siyo za kweli, kwani yeye ana mwanaume ambaye anamuudumia kila kitu ingawa hawafanyi mapenzi.
“Nina mtu ambaye ananihudumia, ananipa mtaji ya biashara zangu. Pia hata kwenye muziki anawekeza pesa yake. Kwa hiyo waache wanifikie hivyo wanavyofikiria, mimi nafikiria navyojijua, mimi nipo tofauti sana na wanavyozungumza, ukijaribu kukaa na watu wangu wa karibu watakwambia,” alisema Gigy.
soma vzr paragraph ya 4 utaona hayo Maneno Mkuu.Mkuu mbona sijaona nukuu ya hiyo sentensi kutoka kwa gigy money, au jamaa kamlisha maneno kunogesha story?
teh teh tehWanaume wa sasa hivi hata ukiwa kichwa maji vipi lakini una mzigo wa haja basi wewe una soko sana.
ha ha haHahaaA...mbona unamchimba mwenzio hivii?!
Ndiyo maana yake hayo mengine wanasema watayavumilia.teh teh teh
kwa hiyo unaamisha wanaume wanachojali wao ni "kula mzigo tu"??
Anauza supu ya *utumbo*Gigy nae ni mwanamziki au sijaelewa!!?[emoji33]
Ila anapenda kukaa uchi tu basi.![]()
Video queen ambaye haishiwi vituko, Gigy Money amefunguka kwa kusema kuwa yeye siyo mtu wa kupenda kufanya mapenzi kama watu wanavyodhani.
Akizungumza na Bongo5, Gigy amesema maisha aliyopitia yamemfanya awe ni mwanamke asiyependa kufanya mapenzi.
“Mimi nimepoteza ile ari ya kufanya mapenzi au kuwa na mpenzi mmoja au nijiachie na mwanaume kama mtu na mpenzi wake siwezi, sasa hivi natafuta maisha, pesa mbele,” alisema Gigy. “Kama yeye ana wivu na mimi, mimi sina wivu na mwanaume,”
Gigy amesema taarifa za kwenye mitandao ya kijamii kwamba anajiuza siyo za kweli, kwani yeye ana mwanaume ambaye anamuudumia kila kitu ingawa hawafanyi mapenzi.
“Nina mtu ambaye ananihudumia, ananipa mtaji ya biashara zangu. Pia hata kwenye muziki anawekeza pesa yake. Kwa hiyo waache wanifikie hivyo wanavyofikiria, mimi nafikiria navyojijua, mimi nipo tofauti sana na wanavyozungumza, ukijaribu kukaa na watu wangu wa karibu watakwambia,” alisema Gigy.
Asante kwa kutupa nafasiKuna watoto wazuri humu JF wametulia tu..akigeuka ni lawama..akitembea lazima ushike kichwa...na hawataki kelele mingi
Unaonekana wewe ni mtoto mzuri sana, mrembo...Asante kwa kutupa nafasi