Gigy Money: Sipendi kufanya Mapenzi, hata Boyfriend wangu anajua

Ndio huyu aliyekuwa anang'ang'ania kwamba kamegwa na Huawei?
 
Aende kwa yule aliemkojolesha mtu miaka 15 aone kama hatapenda
 
Na huo mkono ndio umeishia wapi, ndio advert?
 

Kaimba wimbo gani
 
Wanaume wa sasa hivi hata ukiwa kichwa maji vipi lakini una mzigo wa haja basi wewe una soko sana.
teh teh teh
kwa hiyo unaamisha wanaume wanachojali wao ni "kula mzigo tu"??
 
Ila anapenda kukaa uchi tu basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…