Ndiyo ukweli.... Akili zimeamia kwenye mzigo tu.
Sanaaaaa...nalika bila viungoUnaonekana wewe ni mtoto mzuri sana, mrembo...
Mziki wa supuMakubwa haya[emoji33] hata nilikuwa sielewi!!? Anaimba aina gani ya mziki? Mchiriku au mdundiko!?
Unalika ee eti?Sanaaaaa...nalika bila viungo
Tunawaacha tu unadhani tutawafanyaje.Wafuasi wa ustadh kipozeo kwahiyo mtuache tu
Supuuuu!Gigy nae ni mwanamziki au sijaelewa!!?[emoji33]
Mmmmh unaishia kunipagawisha hapa bure...Sanaaaaa...nalika bila viungo
Tena nalika kama samaki...upande huu ukiisha unageuza upande mwingineUnalika ee eti?
Hahahhaha...afu wewe!!!Mmmmh unaishia kunipagawisha hapa bure...
Pande mbili? DuuuuhTena nalika kama samaki...upande huu ukiisha unageuza upande mwingine
Hahahhaha...afu wewe!!!
Haya....tuendelee