Gilikipa wa Simba, Camara anavyo sababisha Taifa Stars kukosa kipa

Gilikipa wa Simba, Camara anavyo sababisha Taifa Stars kukosa kipa

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Kwa hapa nchini Simba inasifiki kwa jicho la kuona makipa bora wazalendo,Idfi Pazi,Mwameja,Kaseja,Manula etc
Kwa miaka ya Karibuni Taifa keru kiliwategemea Manula,Kakulanya na Ali Salim,
Baada ya Kakolanya kutemwa Simba na Manula na Salim kusugua benchi pake msimbazi ni kama Stars haina kipa wa maana.

Simba wasilaumiwe,enzi xa Manula zimeisha,kama angekuwepo golini jana Sumba ingefungwa goli 5

Manula aende ihefu akapate namba ya kudumu ili achezee timu ya Taifa
 
Back
Top Bottom