Ginimbi: Kutoka umachinga mpaka ubilionea

Anasura ngumu

Nawaza watoto wao wanafananaje
 
Nipo kumwambia baby aanze uza gas uwenda nayeye akawa billionea
 
inaonekana unapemda cartoo..mimi pia nisajestia zakuona
yaaaan mlevi wa kutupa anza na rango then despicable 1 2 3,pussy on the boots,the croods,peter the rabit,sing,rio,rio 2,bossbby,zootopia,shrink,stork,madagascar zote yaan ni nyingi hadi nashindwa nikuandikie ipi niache ipi.af sijui kutofautisha kat ya animation n cartoon
 
Hahahaaa ndio maana watu wenye mguu m1 mrefu mwingine mfupi tunawaita "SONI".
Yaah ni waqt huo wa avalon au new chox hata mtu mwenye mapengo aliitwa spinks huyo alikuwa bondia alie tolewa meno sasa mkiwa maskani mnakuwa na terminology zenu za kuweza kuelewana na kuwaacha wengine solemba.
 
zote nimechek kasoro despicable 3....
cheki na over the hedge.....
 
Yaah ni waqt huo wa avalon au new chox hata mtu mwenye mapengo aliitwa spinks huyo alikuwa bondia alie tolewa meno sasa mkiwa maskani mnakuwa na terminology zenu za kuweza kuelewana na kuwaacha wengine solemba.
Hahaha da kizazi hiki cha MULUGO mtu mwenye pengo tunamwita "KADINALI".
 
Acha tuu Mzee watu wanazugia tuu hizi biashara uchwara mbele. Kuna chalii mmoja tulikuwa nae kitaa alikuwa mambo safi sana kubadili mkoko kila mwezi anakaa kwenye apartment nzuri yaani kiufupi maisha safi anazuga na kumiliki Barbershop nikawa najiulizaga hivi huyu chalii age kama tunaendana mimi nashindwa wapi aisee kutoboa. Siku anekuja kukamatwa na usalama wakachomoa pembe za ndovu kwenye buti ya gari kumbe anapiga mishe za kutuulia wafanyama adimu huko Mbuga ya Katavi. Toka siku hiyo simuamini tajiri wachanzo kisichoeleweka hasa hawa matajiri wa kiarabu wanaojifanya wanakomaa mikoani bush huko hasa Katavi,Tabora na Kigoma wengi mishe zao ni za uwindaji haramu kwenye maduka wanazuga tuu wanavijana wai wanaowatumia kufanya uharamia huko maporini na mjini wengi wauza poda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…