Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa ulitaka akuoe wwGanda hilo,wauza sembe wanafanikiwa sana huko South.Ila na yeye anapenda vibibi kizee ,yule mkewe ni bibi kabisa.
inaonekana unapemda cartoo..mimi pia nisajestia zakuonaAnafanana na jamaa mmoja ivi kwenye cartoon ya despicable.......
HahahahahAnafanana na jamaa mmoja ivi kwenye cartoon ya despicable.......
yaaaan mlevi wa kutupa anza na rango then despicable 1 2 3,pussy on the boots,the croods,peter the rabit,sing,rio,rio 2,bossbby,zootopia,shrink,stork,madagascar zote yaan ni nyingi hadi nashindwa nikuandikie ipi niache ipi.af sijui kutofautisha kat ya animation n cartooninaonekana unapemda cartoo..mimi pia nisajestia zakuona
Hajui unakuta huyo ndio mtu alienza nae from the scratch akamvumilie shida zake zote,sasa ulitaka akuoe ww
Mbele ya fedha ni Handsome.Anasura ngumu
Nawaza watoto wao wanafananaje
Jina la CHIBA limetoholewa kutoka kwa mcheza filamu wa kijapan sonny chiba katika moja ya filamu zake alicheza kama mlemavu wa mguu wa bongonyoso tukamaliza.Hebu fafanua hapo kwenye herufi kubwa
I was a bad boyyyy.... HahahahaAnafanana na jamaa mmoja ivi kwenye cartoon ya despicable.......
Hahahaaa ndio maana watu wenye mguu m1 mrefu mwingine mfupi tunawaita "SONI".Jina la CHIBA limetoholewa kutoka kwa mcheza filamu wa kijapan sonny chiba katika moja ya filamu zake alicheza kama mlemavu wa mguu wa bongonyoso tukamaliza.
Yaah ni waqt huo wa avalon au new chox hata mtu mwenye mapengo aliitwa spinks huyo alikuwa bondia alie tolewa meno sasa mkiwa maskani mnakuwa na terminology zenu za kuweza kuelewana na kuwaacha wengine solemba.Hahahaaa ndio maana watu wenye mguu m1 mrefu mwingine mfupi tunawaita "SONI".
zote nimechek kasoro despicable 3....yaaaan mlevi wa kutupa anza na rango then despicable 1 2 3,pussy on the boots,the croods,peter the rabit,sing,rio,rio 2,bossbby,zootopia,shrink,stork,madagascar zote yaan ni nyingi hadi nashindwa nikuandikie ipi niache ipi.af sijui kutofautisha kat ya animation n cartoon
huwa napenda sana cartoon sauti zikiigizwa na mastazote nimechek kasoro despicable 3....
cheki na over the hedge.....
Hahaha da kizazi hiki cha MULUGO mtu mwenye pengo tunamwita "KADINALI".Yaah ni waqt huo wa avalon au new chox hata mtu mwenye mapengo aliitwa spinks huyo alikuwa bondia alie tolewa meno sasa mkiwa maskani mnakuwa na terminology zenu za kuweza kuelewana na kuwaacha wengine solemba.
Acha tuu Mzee watu wanazugia tuu hizi biashara uchwara mbele. Kuna chalii mmoja tulikuwa nae kitaa alikuwa mambo safi sana kubadili mkoko kila mwezi anakaa kwenye apartment nzuri yaani kiufupi maisha safi anazuga na kumiliki Barbershop nikawa najiulizaga hivi huyu chalii age kama tunaendana mimi nashindwa wapi aisee kutoboa. Siku anekuja kukamatwa na usalama wakachomoa pembe za ndovu kwenye buti ya gari kumbe anapiga mishe za kutuulia wafanyama adimu huko Mbuga ya Katavi. Toka siku hiyo simuamini tajiri wachanzo kisichoeleweka hasa hawa matajiri wa kiarabu wanaojifanya wanakomaa mikoani bush huko hasa Katavi,Tabora na Kigoma wengi mishe zao ni za uwindaji haramu kwenye maduka wanazuga tuu wanavijana wai wanaowatumia kufanya uharamia huko maporini na mjini wengi wauza poda.Nilipata mfahamu jamaa mmoja alikuwa anauza mishkaki kwa waarabu, baada ya muda akawa na ukwasi wa kutosha.majumba,magari,na vitega uchumi sana tu.
kila mmoja alisema lake kuhusu utajiri wa jamaa, oparesheni ya ujangiri ikaja mkumba jamaa kumbe alikuwa anashirikiana na waarabu kuuza pembe za ndovu.
jamaa akakamatwa na mzigo na kuwataja wahusika,ikiwemo matajiri flani wa mjini hapa. tangu hapo mtu ukiniletea habari za fulani aliuza mchicha, mihogo, sijui kababu nakuoa bwege tu.
kuna michakato nyuma ya pazia kwenye haya mafanikio ya watu.
Yaah kila zama na kitabu chake terminology hubadilika pia kutokana na wakati kama kubonga na kuzoza ilikuwa kumtamkia bint mambo ya mapenzi sasa misemo imebadilikaHahaha da kizazi hiki cha MULUGO mtu mwenye pengo tunamwita "KADINALI".