Ginimbi: Kutoka umachinga mpaka ubilionea

Ndo kama watu huwa nawashangaa wanasemaga eti Bakhresa alianza kubrash viatu baadae mashine ya kusaga unga na kukoboa ndo maans leo tajiri.......nyooooo!!! Siri ya utajiri wa mtu anaujua yeye mwenyewe!!
 
Lini Bill Gates atapiga picha kuonesha Mansion na gari zake?! Hata Mo tu hawezi fanya hivyo!
Utajiri wa kimazabe wa kiafrika bana!!
Na Huyu ni less educated!
 
[emoji28] [emoji28]
 
Lini Bill Gates atapiga picha kuonesha Mansion na gari zake?! Hata Mo tu hawezi fanya hivyo!
Utajiri wa kimazabe wa kiafrika bana!!
Na Huyu ni less educated!

Less educated. Mhhhhh ok mtu anakula maisha wewe unawaza karatasi la elimu ,piga buku kama maarifa hakuna utabakia hivyo hivyo. Dr Shika kapiga buku leo hii huyo hapo.
 
Huyu jamaa amefanana na kale kakatuni is despiscable me !! Hasa hiyo picha ya kwanza
 
Ndo kama watu huwa nawashangaa wanasemaga eti Bakhresa alianza kubrash viatu baadae mashine ya kusaga unga na kukoboa ndo maans leo tajiri.......nyooooo!!! Siri ya utajiri wa mtu anaujua yeye mwenyewe!!
Kama Lungumi tuliambiwa alikuwa ni mpaka viatu rangi...

Ila Ginimbi lazma yupo nyuma ya viroba vya unga... Ngawira anayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…