Ginimbi: Kutoka umachinga mpaka ubilionea

Ginimbi: Kutoka umachinga mpaka ubilionea

Amalinze

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Posts
6,780
Reaction score
5,305
Genius Kadungure aka Ginimbi ni raia wa zimbabwe ambaye alizaliwa tarehe 10 October 1984,Mwaka 2000 alianza kujishughulisha na uuzaji wa mitungi ya gas na kuanza kusupply majumbani,alifanya biashara hiyo ambayo ilimpa uzoefu mkubwa na kuanzisha kampuni yake mwenyewe ijulikanayo kama Pioneer Gases yenye matawi nchi tatu,Zimbabwe,Botswana na South Africa.

Kampuni ya Pioneer ina supply gas majumbani,kwenye viwanda na wauzaji wadogo wadogo mitaani.

Ginimbi ana mke anayeitwa Zodwa Mkandila ambaye wana watoto wawili,Mkewe pia ni mfanyabiashara mkubwa sana nchini zimbabwe ni CEO wa Traverze Travel ambayo alianzisha mwaka 2003 baada ya kuacha kazi ya receptionist.

Ginimbi ana miliki Majumba ya Kifahari yaliyopo Harare,Joz na Gabarone,pia anamiliki collection ya expensive cars RR,Autobiograph Range,Bentely,Lambo,Ferrari etc

Ginimbi akiwa Mbele ya Mansion yake ya Harare.
HOUSE1.jpg


HOUSE2.jpg


HOUSE3.jpg

HOUSE4.jpg

GINIMBI5.jpg

Mkewe Ginimbi Kushoto Akiwa Kwenye All White Party.
GINIMBI WIFE.jpg

Range Rover(Black),Benz(Orange) na RR(Blue).
GINIMBI4.jpg

GINIMBI3.jpg

Ginimbi Akiwa na Walinzi wake Binafsi Uwanja wa Taifa wa Zimbabwe.
GINIMBI1 SECURITY.jpg


Ginimbi akionyesha magari ya kifahari zaidi ya 8 mbele ya Mansion lake Jingine.
GINIMBI2.jpg


GINIMBI1.jpg


Unaweza Ukaangalia Cars Collection kwenye Youtube Link.
 
Nilipata mfahamu jamaa mmoja alikuwa anauza mishkaki kwa waarabu, baada ya muda akawa na ukwasi wa kutosha.majumba,magari,na vitega uchumi sana tu.

kila mmoja alisema lake kuhusu utajiri wa jamaa, oparesheni ya ujangiri ikaja mkumba jamaa kumbe alikuwa anashirikiana na waarabu kuuza pembe za ndovu.

jamaa akakamatwa na mzigo na kuwataja wahusika,ikiwemo matajiri flani wa mjini hapa. tangu hapo mtu ukiniletea habari za fulani aliuza mchicha, mihogo, sijui kababu nakuoa bwege tu.

kuna michakato nyuma ya pazia kwenye haya mafanikio ya watu.
 
Back
Top Bottom