Girlfriend kichefu chefu kweli. Ndio aende hatua ya uchumba huyu?

Wangu mimi anafoka haswaaa alafu ni barmaid sasa

Ukimpigia simu unaweza shangaa anakata ghafla ukimuuliza anasema anielewi yaani anakisirani muda wote

Anapenda neno "uchi" yeye na mashoga zake wanaitana malaya

[emoji15][emoji15]
 
Ila huu ujinga ndio maana ccm wameifanya tanzania nchi ya mama yao. Mtoto wa kiume umeshindwa kufanya maamuzi mpaka unakuja kulalamika JF.
 
Demu mwenye domo chafu hfai ata kwa kuonja.
 
Na wewe mvulana ndo chanzo kikubwa cha ujinga. Unakuja kulalamika kuhusu CCM jukwa la MMU? na wao wameifanya nchi ya mama yao wewe umefanya maamuzi gani zaidi ya kulalamika huku JF?

Ila huu ujinga ndio maana ccm wameifanya tanzania nchi ya mama yao. Mtoto wa kiume umeshindwa kufanya maamuzi mpaka unakuja kulalamika JF.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] nacheka kama n mazuri lkn uyo manz n moja ya manzi wachache sana ambao hawawez kufake life. Kaanza kukuonyesha who she is mapema sana, ni nzuri lkn tabia zake ndo mbaya. Na hii inatokana na makuzi yake.kama kweli unampenda kwa dhati na unafuture nae unaweza kumbadilisha na akawa na tabia unazotaka. Jaribu kumfanya awe spiritual kama utafanikiwa intakua poa sana. Lkn had apo kakuwashia taa nyekundu.
 
Kwa hyo mliendana [emoji3][emoji3]
Kuna mamraka Chuga n kabaya
 
Hatokei chuga kweli huyo?πŸ˜†πŸ˜†
Umenikumbusha demu flani hivi nilishawahi kudate nae, yaani baada ya mi..ombano kama minne hivi sikuweza kuvumilia lugha yake kwa watu wengine na sometimes kujisahau kwake mbele zangu. Ni wakutokea pande za Arusha, sijui kwanini Wana lugha kali sana
 
Hahaha pande za chuga moja lol. Wana lugha ngumu kweli gash za kule
 
Hahaha nimecheka Sana aisee, kuna stories zingine tunashindwa kuzisema humu Ila zinaendana sana. Sirudii kupeleka demu niliyeokota kiwanja ghetoni, nilijivunjia heshima hivi hivi kwa baba mwenye nyumba na majirani zangu. Yule demu Ms*ng* sana
Mademu wa Arusha uwe na akili za ziada...
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…