Girlfriend kichefu chefu kweli. Ndio aende hatua ya uchumba huyu?

Eroo..!!Hao mamanzi wa design kaa iyo nawapata fas zipi asee??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo hamna mke..kwamba unasema Hiiii
 
Vijana mnatuchekesha kaka zenu..hahahahaaaa!
Oa tu chizi mwenzio huyo
 
Ni balaa man...
 
Ni balaa man...
Mara ya kwanza ilikuwa powa tu asubuhi akachomoka na kurudi kwake. Ikapita Kama wiki hivi, kila akitaka kuja namkatalia kuwa kuna mdogo wangu amekuja kikazi Arusha anahudhuria seminar week alafu ataondoka. Ebanaee week end hiyo, nipo gheto na mdogo wangu tunacheki series mida ya saa sita kwenda saba usiku, tunashangaa mlango unagongwa, kwenda kufungua demu bila salamu kachoma ndani mpaka kitandani yupo bwiii, sijui niseme ananuka au ananukia savanna. Mdogo wangu ananiangalia mimi, nikawa mstaarabu tu, mbona hujanijulisha kuwa unakuja? Hayo majibu yake sasa ndio yalikuwa yananikera, nilipandwa na hasira pale alipoanza kutukana na kusema haondoki pale ni kwa mchumba wake.
Baada ya kumbembeleza sana kuwa nipo na mdogo wangu yeye hawezi kulala pale, ndipo balaa lilipoanza, akaanza kumletea dharau dogo na maneno design ya vijembe kuwa anatuwekea usiku pale Kama vipi akalale nje. Nikaamua kumtoa kinguvu ndani mpaka geti kubwa la kutokea nje, nilipomuacha nje nami kurudi ndani, si akaanza kurusha mawe batini? Mbaya zaidi mengine yanadondokea upande wa majirani. Nikatoka kwa hasira nilipomfikia nikamlamba makofi mawili ya nguvu, hapo majirani wanaume walikuwa wameshatoka ndani. Kilio alichokiangusha pale aisee nilitamani hata bora nisingemgusa.
Majirani wengine walishamuona Ile first time nilivyokuja nae, wanasema imekuwaje tena wewe na shemeji mnagombana nje huku mpaka kuamsha watu kwa starehe zenu? (kumbuka hapa demu anaonekana amelewa bwii) Baba mwenyenyumba kusikia hivyo alafu ni mjumbe akasema nendeni ndani mkapatane, wote wakaafikiana bila kunisikiliza mimi. Kusikia hivyo demu kanyoosha njia mpaka ndani, nikabaki nje nikimwelewesha baba mwenye nyumba, Ila mimi sionekani kama nimekunywa na kiukweli sikutoka kabisa hiyo siku na hata majirani ni mashahidi.
Stori ndefu ngoja nivute pumzi.......
 
Hahahahahahahahaha nimecheka kama mazuri vile, pole sana kazi kwako uamue kusuka au kunyoa.
 
Mkuu huyu sio demu.Ni changudoa anayejiuza proper.Usimwite demu.
 
Mm nakichefuchefu kama yako boss aisee nakoma kwanza inapenda mtombo pili ukiito...a lazima uwe unaitukana au kuikaba tatu wivu nne aisee mlalamishi sijawai ona saivi ni mikwepo Tu no kuonana sitaki keep mm
 
Madem wa hvo huwa ni wazuri Ila ni mpaka uwajulie,na ni watamu vby mno.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
 

Uchumba ni kivuli cha ndoa mambo uliyoyaona kwenye uchumba ni picha halisi ya kwenye ndoa tuwe makini sna katika hili wadau tuwe makini
 
Duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…