Girlfriend kichefu chefu kweli. Ndio aende hatua ya uchumba huyu?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ungeenda nako guest mzee. Ukishaona demu haumuelewi na hamjuani vizuri usiwe mwepesi kupelekea home unapoishi.

Wengine wanakuwa vichaa ila wanakausha. Anaweza kukutimbia usiku bila taarifa upo na manzi yako akaleta vagi.

Mimi nilishakutana na hako kakichaa mara kama tatu nimekalaza guest house kila tukiachana kananiganda nikapeleke home nakachomolea kuwa nitakapeleka siku nyingine, kuna siku nakashusha kaliniamshia sana mbele za watu ila sababu nipo vema kidiplomasia nikakatuliza kakasepa home kwao.

Kuna siku bwana tumekutana guest ile tunaondoka akakubali kama kawaida kushuka bila ligi, nikaona safi ameanza kuwa muelewa hatubishani. Kumbe bwana tulipoachana akachukua pikipiki wakaanza nifuata nyuma nisijue. Akanifuata hadi home ila hakuingia akanisubiria hadi natoka. Ndipo akanifuata, nikasema hivi huyu mzima kweli wa akili?!

Kilichonifanya nimpotezee mazima ni siku hiyo alinikosea adabu akanijia usiku hapo home huku amelewa, aisee nilimind sana.... Nilichofanya ni kumuachia alale asubuhi nikamsindikiza vizuri. Tokea hapo sikuwa napokea tena simu zake wala kujibu text alinitafuta akatukana tani yake sikumpa attention anayotaka. Akaja tu kukubali yaishe.
 
Kwamba "nitakutia madole mpaka machoni" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Pole sana mkuu, umenikumbusha miaka yanyuma kidogo .niliwahi kuwa na dem muhuni sana akikutext ni "inakuaje my"
[emoji23][emoji23]piga chini mzee ,hamna mke hapo..
 
Sema ulikosea, ungemuacha wala usingeleta vagi, maana tayari ameshakuja na ni usiku. Ungemkaushia atulie alale.....

Kisha asubuhi mnakunywa chai vizuri tu. Then unamsindikiza
 
Malizia hii please.


 
Huyo mwanamke anajiuza. Ndio maana Hana staha hata katika maneno yake. Fuatilia utagundua.
 
@Chizi Maarifa umeshtukia mchongo mtu mbadiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo ni pure changudoa hadi hapo hujajua, anakosoro hawezi kujiswichi kutofautisha mazingira, jaribu siku mpe nauli Kama elfu3, kama amezoe kupewa misimbazi au msimbazi+ atakubadirikia kama alikutangazia biashara na kiasi mapema. Dunia Raha Ni kukojoa manii
 
Sema ulikosea, ungemuacha wala usingeleta vagi, maana tayari ameshakuja na ni usiku. Ungemkaushia atulie alale.....

Kisha asubuhi mnakunywa chai vizuri tu. Then unamsindikiza
Sasa mdogo wangu angelala wapi na nina self contained room moja tu mkuu?. Kwa wanaokaa Arusha wanaelewa, vyumba vya design hii ni vingi sana kule
Malizia hii please.
Hahaha mademu waarusha achana nao bro, ulipata aliyetulia toka pande hizo shukuru Mungu. By the way huyu demu nilikuwa kutemana nae baadae maana hata kama mpo sehemu tulivu na washkaji atakuwa mpooole ila zikishaanza kukolea kichwani analoose control mpaka inafikia kipindi washkaji wananiuliza we umependea huo weupe na sura? 🤓🤓🤓
 
Nimecheka sanaaa had machozi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanini Kuna muda mnajisahau nyinyi mabinti? Yaani hata kama unasaka mahusiano ya muda mrefu try to behave good bhas. Sisi wanaume vitu vidogo sana vinaweza kutufanya tubadirishe maamuzi na kupindua meza.
Always be good to your friend so that you can earn the best of friendship.
 
Watu wanatofautiana, wapo ambao ni well behaved hadi unajiuliza where have you been to meet her[emoji4] so don't generalize dude.
 
Watu wanatofautiana, wapo ambao ni well behaved hadi unajiuliza where have you been to meet her[emoji4] so don't generalize dude.
Ni kweli siwezi kugeneralise mamii. Seems like you're one of those well- behaved princesses😉
 
Ukiacha hayo maneno Yake vp Qumer tight au breki Pumbou?
NB: mademu wa ARUSHA Ni bange tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…