Girlfriend wako ana tatizo hili?

Girlfriend wako ana tatizo hili?

COMPLICATOR2011

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2011
Posts
253
Reaction score
35
Mimi nina gf, ni mzuri na ninampenda sana. Tatizo lake ni kwamba tunapokuwa kwenye stage anaumia sana hasa wakati wa kuanza. Nini chanzo cha tatizo hili na nifanyeje ndg zangu?
 
Hujamuandaa vizuri
Kuingia kwa nguvu; wanaume wengine huona pushing harder ndiko kujua mapenzi!
 
Wewe unaingia bila hata maandalizi kama kuku unafikiri ataacha kuumia
Mapenzi yanahitaji maandalizi bana sio kurukia kama kuku
 
Tafuta "Kamasutra". Jifunze!.... Acha kumuumiza mwenzio bila sababu za msingi!!....
 
mkuu maandalizi muhumi sio kuwa kama jogoo unaruikia bila hata taarifa
Mwandae na mtayarishe mpaka awe tayari kaka
 
Kabla cjakujibu,hebu niambie huwa unamfanyia maandalizi ya kutosha kabla ya tendo?
 
mpe pole huyo bibie, inawezekana akawa ana bacteria infection,the best way to prove that ni kwenda kwa gynaecologist amcheki.
 
Dah...mademu wenye tatizo hili ni wengi, hata wangu huwa namuandaa sana lakini bado anaumia,inaboa sana..jamani toeni ushauri ishu sio kumuandaa..
 
Dah...mademu wenye tatizo hili ni wengi, hata wangu huwa namuandaa sana lakini bado anaumia,inaboa sana..jamani toeni ushauri ishu sio kumuandaa..
Mpeleke kwa daktari achunguzwe...
 
tatizo baadhi ya watu huku JF ni vinega, yaani wanadandia mada bila hata kujua...

Pole, me mwenyewe ishu kama hiyo ilishanikuta..nikajitolea mpaka hospitali ila hakukuwa na changes, so sikuwa na jinsi ikabidi tu nichukue maamuzi magumu..usitake kumfurahisha mtu mwingine wakati wewe hufurahi, wewe jitu unaliandaa mpaka kila kitu kinakuwa hot..ila shughuli ikianza ni kusukumwa kama ulilazimisha vile.

Man usinganganie kero kwa kisingizio cha eti unampenda..utajuta uzeeni huko.
 
hebu mpe basi heshima yake
jitu kama kitu kisichofaa vile yaani cha kutupa wakati ni mwanamke anayekupa starehe
Ulishawahi kukaa nae ukamuulza tatizo lake ni nini
May be hana hamu ya sex au alishawahi kubakwa so ana ile hofu kila anapokutana na mwanaume anawaza lile tukio na hafurahii hicho kitendo
 
hv huoni aibu kuanika madhambi yenu hapa unasex nae ni mkeo
vijana acheni kujihusishana ngono kabla ya wakati
ndo maana hata sehemu zenu hazikubali mnazilazimisha kwanini?
 
Mimi nina gf, ni mzuri na ninampenda sana. Tatizo lake ni kwamba tunapokuwa kwenye stage anaumia sana hasa wakati wa kuanza. Nini chanzo cha tatizo hili na nifanyeje ndg zangu?
sasa kama wewe unambaka unafikiri ataacha kuumia?
 
mpe pole huyo bibie, inawezekana akawa ana bacteria infection,the best way to prove that ni kwenda kwa gynaecologist amcheki.

hili nalo laweza kuwa neno la busara. Mtu aliye na bacterial infection mara nyingi huwa ha-produce ile mucus, ambayo husaidia ku-lubricate. Kwa hiyo hata kama mtafanya fore play lazima ataumia. Ushauri wa Isabella ni wa kitabibu zaidi, maumivu yakizidi.......
 
There are several pre procedure to follow before inserting your "something" in her nanii. So kuna article nying zinafundisha pitia. Nenda ka google. Kila kitu kipo clear. Sio unachomeka and pushing up and down several times then unachomoa kaz imekwisha.
 
<b>hv huoni aibu kuanika madhambi yenu hapa unasex nae ni mkeo<br />
vijana acheni kujihusishana ngono kabla ya wakati <br />
ndo maana hata sehemu zenu hazikubali mnazilazimisha kwanini?</b>
<br />
<br />
ili uwe kocha mzur lazma upitie team nyingi.
 
kunachuo kinaanzishwa hapa bongo sexology university kitatoa wataalamu wa ukwel nafkir kitasaidia sana haya matatizo yenu ya kijamiii
 
naomba namba ya huyo dada nimpe ushauri asiumie na kamwe hatoumia tena! please nitumie!
 
Back
Top Bottom