COMPLICATOR2011
JF-Expert Member
- Jul 13, 2011
- 253
- 35
Mimi nina gf, ni mzuri na ninampenda sana. Tatizo lake ni kwamba tunapokuwa kwenye stage anaumia sana hasa wakati wa kuanza. Nini chanzo cha tatizo hili na nifanyeje ndg zangu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Hujamuandaa vizuri

Kuingia kwa nguvu; wanaume wengine huona pushing harder ndiko kujua mapenzi!
Mpeleke kwa daktari achunguzwe...Dah...mademu wenye tatizo hili ni wengi, hata wangu huwa namuandaa sana lakini bado anaumia,inaboa sana..jamani toeni ushauri ishu sio kumuandaa..
tatizo baadhi ya watu huku JF ni vinega, yaani wanadandia mada bila hata kujua...
Pole, me mwenyewe ishu kama hiyo ilishanikuta..nikajitolea mpaka hospitali ila hakukuwa na changes, so sikuwa na jinsi ikabidi tu nichukue maamuzi magumu..usitake kumfurahisha mtu mwingine wakati wewe hufurahi, wewe jitu unaliandaa mpaka kila kitu kinakuwa hot..ila shughuli ikianza ni kusukumwa kama ulilazimisha vile.
Man usinganganie kero kwa kisingizio cha eti unampenda..utajuta uzeeni huko.
sasa kama wewe unambaka unafikiri ataacha kuumia?Mimi nina gf, ni mzuri na ninampenda sana. Tatizo lake ni kwamba tunapokuwa kwenye stage anaumia sana hasa wakati wa kuanza. Nini chanzo cha tatizo hili na nifanyeje ndg zangu?
mpe pole huyo bibie, inawezekana akawa ana bacteria infection,the best way to prove that ni kwenda kwa gynaecologist amcheki.

hv huoni aibu kuanika madhambi yenu hapa unasex nae ni mkeo

vijana acheni kujihusishana ngono kabla ya wakati

ndo maana hata sehemu zenu hazikubali mnazilazimisha kwanini?