Girlfriend wangu ametekwa,alazimishwa kufanya mapenzi at a gun point naombeni ushauri

Na hii habari msimuliaji ni nani? ni mpenzi wako au?
 
hebu kwanza jiridhishe na hii habari inawezekana anakuchezea tu na mwishoe ukaambiwa ana ujauzito wa jamaa.
kama ni kweli kwanza hakikisha huyo dada anapata ushauri stahili na huyo kidume mfanyie mpango vilevile.
 
kaka just leave the girl watoto wa bongo wajanja sana.ishawahi kutokea kama hii tukiwa UDSM enzi hizo 2003 kumbe binti alimpata mweye chapaa wakaamua kutunga hii story kwani wkt anarudishwa dadake na kijana alotaka kumwoa alimwona akiletwa na wakakawia sana kutoka kwenye gari baadae ndio akatoka akilia afu jamaa aliemleta alitoa gari spid kali.dada mtu nae alikuwa chuo mwaka wa mwisho na alidhani amepata wifi kwa mdogo wake kumbe kimeo.kaka kuwa makini sali Mungu atakuangazia utampata anaekufaa na mkweli. kama ni huyo basi utaona ishara pia.
 
Bushloiaz majibu yako yanaonyesha umeshaamini kila kitu ulichoelezwa na huyo mpenzi wako na uwezekano wa kukushauri utakuwa mdogo kwakuwa tayari umekubali maelezo yote hata kama haya-addup,hebu tulia kidogo na uangalie yafuatayo, 1.daktari kakutibu mara moja unampa namba ya simu ? 2.anajuwa unasoma wapi ? 3,anakupigia simu usiku ? 4.anakuita kwenye gari unaenda tena peke yako ? 5.kitu gani hakuweza kuongea kwenye simu hadi muonane ? 5.usipige kelele getini kuna walinzi ? 6.umebakwa unaoga kubadili nguo unaenda polisi siku ya pili ? 7.huyu ni msomi sio mwanafunzi wa primari, TAFAKARI CHUKUA HATUA.
 
Mkuu naomba ufafanuzi zaidi:

1. Unasema alishikiwa Bastola kisha akabakwa, je walikuwa katika mazingira gani wakati tukio likifanyika?
2. Unaposema ni Daktari aliyewahi kumtibu, je baada ya kumtibu waliendelea na urafiki? Urafiki wao ni wa mazingira yapi?
3. Kama kitendo kimetokea Jana, je mmechukua hatua gani kisheria?
4. Je siku ya Ubakaji, walikuwa na miadi ya kukutana au ilitokea bila kutegemewa, na kama jibu ni ndiyo, je wewe kama mpenziwe ulikuwa na taarifa juu ya kukutana kwao?
5. Je mmekubaliana kuwa utakuja kuomba ushauri JF?.............
 
Mkuu hii ni sinema tena sio hata ya kihindi hii ni ya Korea kabisa maswali yako ukichanganya na yangu hapo juu yanatosha kumfungua mshikaji kwenye minyororo ya wapenzi wakibongo,jamaa akishasikia babe,sweety.honey,pumkin,luv akili anahamia kusiko.
 

Kamanda hapa umefunga kitabu, haya masuali ni muhimu sana katika hii kesi.

Mimi namshauri mleta mada aachane na kupokea habari kutoka kwa huyo mpenzi wake na badala yake ajaribu kutafuta watu wa pembeni na kwa kuanzia tu, huyo alietaka kumsindikiza mpenzi wake kwenda kwenye gari ni source muhimu sana ya ushahidi. Pia bongo sio kubwa kivilee anaweza akatafuta washikaji wa huyo Dr na akaspy kupata some information kwa vile yeye na huyo Dr hawajuani itakuwa very easy. I can smell kwamba huyu mdada na Dr wanajuana A to Z katika hii stori.

Unajua kuna wadada they look so Innocent lakini swagga zao hata Lady gaga haoni ndani.
 
Kama kweli amebakwa basi usimuache maana ndio anakuhitaji zaidi kuliko wakati mwingine wowote. Natamani kujua huyo Dr walikuwa wanawasiliana? Maana kukutibu ukiwa form2 halafu aje akuteke chuo miaka kadhaa baadae! What a coincidence. -Alimtoaje chuo under gun point bila kuonekana maana mazingira ya chuo mtu akutoe class au hostel mpaka kwenye parking na akuingize kwenye gari bila ridhaa yako bila kuwa suspected ni ngumu. -Kitendo cha Dr kuachwa bila kuchukuliwa hatua hamuoni kitamfanya amrudie bint tena na tena? Pole,ila fanya uchunguzi ili uweze kuchukua maamuzi sahihi. Mungu akuongoze.
 
Kuna jambo najiuliza,hivi kumteka mtu kwa stail hii kwa mazingira ya nchi yetu itawezekana kweli?Maana haya tunayaona kwenye tv tu,mmhh!
 
mkubwa umetoa pwenti kali sana. akijibu maswali yako atapata muongozo sahihi
 

pwenti mkuu
 
Inawezekana walikuwa wapenzi na dr toka form 2 ila hawajawahi ku-do. Sasa doctor kasikia binti ana mtu na labda amejua anataka kuolewa ameingiwa na hasira kwamba yeye kalea wengine wanachukua kiraini. Kwa sababu ukweli unabaki pale pale kila doctor anayemtibu anampa namba ya simu? Je doctor yuko single?

Incidence nzima kama ni ya ukweli imekaa ki kisasi kisasi. Wanawake wooote huyo doctor atoke huko alikotoka mpaka chuoni na bastora kumfuata yeye. Kwa nini asingetumia maelewano kwanza na kuamua kutumia bastora moja kwa moja. Je alishawahi kumtaka before?

Pole kaka I am trying to be on your shoes. Lazima uatakuwa umechanganyikiwa pengine kuliko aliyebakwa. Mapenzi yana mateso yake.

EEh alafu umesema amemwambia atamfata tena. Pole hiyo tena kali. Ndio umeshanyang'anywa kitumbua chako mwaya. Hii ya kumfuata tena inanifanya nione huu ni usanii sasa. Umekuwa replaced. Sijawahi sikia mbakaji anaaga kuwa atarudi tena.
 
Hapo kwenye red kumenifanya nikose imani na huyo binti. Kwa hiyo keshaambiwa jamaa ataendelea kuwa anambaka. Eeh. Huyo dada anakutema kwa staili ya kipekee.

 
Angekuwa si malaya ungewezaje kumtoa bikra nje ya ndoa?

Jee, ulikuwepo wakati anatekwa na bastola? Au ndio story aliokupa yeye?

Usiwe ****, kama hiyo story kakupa yeye basi kakudanganya kijinga nawe umeingia mkenge kwa kuwa unamuamini sana.

Una matatizo ww, si bure!
 
Hapo kwenye red kumenifanya nikose imani na huyo binti. Kwa hiyo keshaambiwa jamaa ataendelea kuwa anambaka. Eeh. Huyo dada anakutema kwa staili ya kipekee.
Umeona nyumba kubwa eee yaani msichana msanii ajabu
 
Huyo binti si mkweli! Kuna wadada wangapi hapo chuo? Kwa nini abakwe yeye? Kwa nini alioga baada ya kubakwa? Achana na huyo Binti FASTA!!
 
Pole sana kaka. Kama una hakika ametekwa na kubakwa then huna haja ya kumhisi vibaya. kwanza nenda polisi kwa kuwa swala la kutekwa ni criminal case na banati nzuri, hadi unajua ametekwa, obvious utakuwa unajua yuko wapi. kwa mtaji huo basi wewe chukua hatua za kiesheria.

again, mwanamke anayetaka kubakwa at gun point sio mwanamke wa kumwacha. kama utamwacha kwa kosa kama hilo ambalo sio la kwake, there could be two pisbilities,
1) kwa kuwa amebakwa, na ni kitu kibaya sana kwa mwanamke, she will be physiocological disturbed

2) If you dump her, she is likely to commit suicide.

Are you ready?
 
Mimi pia ni mwanamke,kaka yangu hapo umeliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…