<br />
<br />
Halafu Swali lingine ambalo Mm najiuliza,Kama hakum-mbaka Chumbani hapo Campus,alitoka naye vp chumbani kwenda kwenye gari? Alikuwa ameshika silaha hadharani? Kwa vyovyote aliificha ili watu wasishangae then kumwingiza kwenye gari na kwenda nae huko anapokujua yeye!! Muda wa kutoka chumbani kwenda kwenye ulitosha kupiga Mayowe!! Kuna kitu huyo Msichana anakudanganya kaka,usimwamini 100% hata kama umemtoa wewe mwenyewe Bikira!!
Halafu kaka,Bikira is something physical wakati Uadilifu ni jambo la Kiroho!! Kama mmoja kati ya wanafunzi 12 wa kwanza wa Yesu alianguka katika dhambi sembuse Mwanamke wako? Upendo na Imani yako kubwa kwa huyo Mpenzi wako usikufanye usione Mantiki na kupofua macho yako!!
Kama huyu Mpenzi wako atajiumauma kujibu maswali haya au ukimuuliza anakuwa mkali au anajifanya kuangua kilio UJUE AMEANZA UMALAYA! Kila tabia mbaya inaanza na hatua ya kwanza,kila kitu kibaya unachokiona duniani leo kilikuwa na mwanzo coz hata malaya wa Ohio na walishawahi kuwa Mabikira!!
Lakini ili ujiridhishe na uanze kumchukulia hatua huyo daktari na kuona kama msichana wako anadanganya au mkweli,nenda kwenye kampuni ya simu za mkononi ambayo mpenzi wako ni mteja,tafuta mfanyakazi mmoja wa IT au yeyote anayeweza kukusaidia Mpe fedha kidogo akupe "Call History" ya namba ya huyo mwanamke wako na Msg zake,akuprintie au kama atakataa aandike msg za huyo dada manually(ndiyo maana unamuhonga) au tumia Jeshi la Polisi kupata ripoti hizo!!
Ukiona alikuwa anajibu msg za huyo daktari au simu zake hata kama ni kijumlajumla ujue huyo mpenzi wako "alishamtamani" huyo daktari moyoni mwake na hata kama asingebakwa(km anavyodai) basi alikuwa tayari ameshazini naye katika ulimwengu wa Roho!!
Cha muhimu zaidi,hakuna mtu asiyena hatia,kila mtu anajua kusema uongo anapoona maslahi yake yanatishiwa!!
Lakini Pia inawezekana akawa anasema Ukweli,Think Big Brother!!