Girlfriend wangu ametekwa,alazimishwa kufanya mapenzi at a gun point naombeni ushauri

Girlfriend wangu ametekwa,alazimishwa kufanya mapenzi at a gun point naombeni ushauri

Jamaa alikwenda pale akampigia simu niko chuoni kwenu naomba kukuona,gf wangu akamwomba mwenzie amsindikize mwenzie akamwambia we tangulia nakuja,kufika jamaa akamwona akamwashia taa akamfata,akamsalimia jamaa akamwambia ingia kwenye gari kwani unaniogopa akamwambia siwezi kwa sababu nina haraka akamwomba demu akaona haina shida kuingia tu kwenye gari jamaa kamtolea hiyo bastola,akamwambia tulia la sivyo nitakufumua ubongo,then jamaa akatoa gari kufika getini bastola kamwekea kiunoni,akaendesha gari msichana hajui walienda hadi wapi akamnyanga'anya simu akaanza na mengine hayo ya kumlazimisha kudo akamrudisha hadi chuo then akamwambia unitafute usiponitafuta nikikutafuta mm utakuwa kwenye matatizo zaidi

Na hii habari msimuliaji ni nani? ni mpenzi wako au?

hebu kwanza jiridhishe na hii habari inawezekana anakuchezea tu na mwishoe ukaambiwa ana ujauzito wa jamaa.
kama ni kweli kwanza hakikisha huyo dada anapata ushauri stahili na huyo kidume mfanyie mpango vilevile.

kaka just leave the girl watoto wa bongo wajanja sana.ishawahi kutokea kama hii tukiwa UDSM enzi hizo 2003 kumbe binti alimpata mweye chapaa wakaamua kutunga hii story kwani wkt anarudishwa dadake na kijana alotaka kumwoa alimwona akiletwa na wakakawia sana kutoka kwenye gari baadae ndio akatoka akilia afu jamaa aliemleta alitoa gari spid kali.dada mtu nae alikuwa chuo mwaka wa mwisho na alidhani amepata wifi kwa mdogo wake kumbe kimeo.kaka kuwa makini sali Mungu atakuangazia utampata anaekufaa na mkweli. kama ni huyo basi utaona ishara pia.

Bushloiaz majibu yako yanaonyesha umeshaamini kila kitu ulichoelezwa na huyo mpenzi wako na uwezekano wa kukushauri utakuwa mdogo kwakuwa tayari umekubali maelezo yote hata kama haya-addup,hebu tulia kidogo na uangalie yafuatayo, 1.daktari kakutibu mara moja unampa namba ya simu ? 2.anajuwa unasoma wapi ? 3,anakupigia simu usiku ? 4.anakuita kwenye gari unaenda tena peke yako ? 5.kitu gani hakuweza kuongea kwenye simu hadi muonane ? 5.usipige kelele getini kuna walinzi ? 6.umebakwa unaoga kubadili nguo unaenda polisi siku ya pili ? 7.huyu ni msomi sio mwanafunzi wa primari, TAFAKARI CHUKUA HATUA.

Mkuu naomba ufafanuzi zaidi:

1. Unasema alishikiwa Bastola kisha akabakwa, je walikuwa katika mazingira gani wakati tukio likifanyika?
2. Unaposema ni Daktari aliyewahi kumtibu, je baada ya kumtibu waliendelea na urafiki? Urafiki wao ni wa mazingira yapi?
3. Kama kitendo kimetokea Jana, je mmechukua hatua gani kisheria?
4. Je siku ya Ubakaji, walikuwa na miadi ya kukutana au ilitokea bila kutegemewa, na kama jibu ni ndiyo, je wewe kama mpenziwe ulikuwa na taarifa juu ya kukutana kwao?
5. Je mmekubaliana kuwa utakuja kuomba ushauri JF?.............

Mkuu hii ni sinema tena sio hata ya kihindi hii ni ya Korea kabisa maswali yako ukichanganya na yangu hapo juu yanatosha kumfungua mshikaji kwenye minyororo ya wapenzi wakibongo,jamaa akishasikia babe,sweety.honey,pumkin,luv akili anahamia kusiko.

Bushloiaz majibu yako yanaonyesha umeshaamini kila kitu ulichoelezwa na huyo mpenzi wako na uwezekano wa kukushauri utakuwa mdogo kwakuwa tayari umekubali maelezo yote hata kama haya-addup,hebu tulia kidogo na uangalie yafuatayo, 1.daktari kakutibu mara moja unampa namba ya simu ? 2.anajuwa unasoma wapi ? 3,anakupigia simu usiku ? 4.anakuita kwenye gari unaenda tena peke yako ? 5.kitu gani hakuweza kuongea kwenye simu hadi muonane ? 5.usipige kelele getini kuna walinzi ? 6.umebakwa unaoga kubadili nguo unaenda polisi siku ya pili ? 7.huyu ni msomi sio mwanafunzi wa primari, TAFAKARI CHUKUA HATUA.

Kamanda hapa umefunga kitabu, haya masuali ni muhimu sana katika hii kesi.

Mimi namshauri mleta mada aachane na kupokea habari kutoka kwa huyo mpenzi wake na badala yake ajaribu kutafuta watu wa pembeni na kwa kuanzia tu, huyo alietaka kumsindikiza mpenzi wake kwenda kwenye gari ni source muhimu sana ya ushahidi. Pia bongo sio kubwa kivilee anaweza akatafuta washikaji wa huyo Dr na akaspy kupata some information kwa vile yeye na huyo Dr hawajuani itakuwa very easy. I can smell kwamba huyu mdada na Dr wanajuana A to Z katika hii stori.

Unajua kuna wadada they look so Innocent lakini swagga zao hata Lady gaga haoni ndani.

Kama kweli amebakwa basi usimuache maana ndio anakuhitaji zaidi kuliko wakati mwingine wowote. Natamani kujua huyo Dr walikuwa wanawasiliana? Maana kukutibu ukiwa form2 halafu aje akuteke chuo miaka kadhaa baadae! What a coincidence. -Alimtoaje chuo under gun point bila kuonekana maana mazingira ya chuo mtu akutoe class au hostel mpaka kwenye parking na akuingize kwenye gari bila ridhaa yako bila kuwa suspected ni ngumu. -Kitendo cha Dr kuachwa bila kuchukuliwa hatua hamuoni kitamfanya amrudie bint tena na tena? Pole,ila fanya uchunguzi ili uweze kuchukua maamuzi sahihi. Mungu akuongoze.

Kuna jambo najiuliza,hivi kumteka mtu kwa stail hii kwa mazingira ya nchi yetu itawezekana kweli?Maana haya tunayaona kwenye tv tu,mmhh!

Hii story ina maswali mengi....
1. Kama alibakwa campas hakupiga kelele kuomba msaada?
2. Alikuwa peke yake kipindi cha kutekwa?
3. Mbakaji aliingia campas na gari? Wakati wa kutoka alipitaje geitini?huyo msichana wako kwa nini hakuscream?
4. Msichana wa chuo kikuu hajui evidence ya ubakwaji inapatikanaje?kwa nini hakupitia hospital akaenda kuoga?
5. Mbakaji alijuaje huyo msichana anasoma hapo chuoni ina maana wanawasiliana mara kwa mara
6. Unasema alitekwa...? Katika campas mtu akuwekee bastola ingia kwenye gari watu wasione? Mmmmh angekimbia angethubutu kumshuti?
7. Alibakiwa ndani ya nyumba au nje ya nyumba? Kama ni ndani alipitaje reception bila hata kuomba msaada wa ishara huku akijua anaenda kubakwa?

NB: labda huyo dada ni mpole sana, alisema mwache tu afanye dhambi zake mwenyewe!
mkubwa umetoa pwenti kali sana. akijibu maswali yako atapata muongozo sahihi

Halafu Swali lingine ambalo Mm najiuliza,Kama hakum-mbaka Chumbani hapo Campus,alitoka naye vp chumbani kwenda kwenye gari? Alikuwa ameshika silaha hadharani? Kwa vyovyote aliificha ili watu wasishangae then kumwingiza kwenye gari na kwenda nae huko anapokujua yeye!! Muda wa kutoka chumbani kwenda kwenye ulitosha kupiga Mayowe!! Kuna kitu huyo Msichana anakudanganya kaka,usimwamini 100% hata kama umemtoa wewe mwenyewe Bikira!!

Halafu kaka,Bikira is something physical wakati Uadilifu ni jambo la Kiroho!! Kama mmoja kati ya wanafunzi 12 wa kwanza wa Yesu alianguka katika dhambi sembuse Mwanamke wako? Upendo na Imani yako kubwa kwa huyo Mpenzi wako usikufanye usione Mantiki na kupofua macho yako!!

Kama huyu Mpenzi wako atajiumauma kujibu maswali haya au ukimuuliza anakuwa mkali au anajifanya kuangua kilio UJUE AMEANZA UMALAYA! Kila tabia mbaya inaanza na hatua ya kwanza,kila kitu kibaya unachokiona duniani leo kilikuwa na mwanzo coz hata malaya wa Ohio na walishawahi kuwa Mabikira!!

Lakini ili ujiridhishe na uanze kumchukulia hatua huyo daktari na kuona kama msichana wako anadanganya au mkweli,nenda kwenye kampuni ya simu za mkononi ambayo mpenzi wako ni mteja,tafuta mfanyakazi mmoja wa IT au yeyote anayeweza kukusaidia Mpe fedha kidogo akupe "Call History" ya namba ya huyo mwanamke wako na Msg zake,akuprintie au kama atakataa aandike msg za huyo dada manually(ndiyo maana unamuhonga) au tumia Jeshi la Polisi kupata ripoti hizo!!
Ukiona alikuwa anajibu msg za huyo daktari au simu zake hata kama ni kijumlajumla ujue huyo mpenzi wako "alishamtamani" huyo daktari moyoni mwake na hata kama asingebakwa(km anavyodai) basi alikuwa tayari ameshazini naye katika ulimwengu wa Roho!!

Cha muhimu zaidi,hakuna mtu asiyena hatia,kila mtu anajua kusema uongo anapoona maslahi yake yanatishiwa!!

Lakini Pia inawezekana akawa anasema Ukweli,Think Big Brother!!

pwenti mkuu

Inawezekana walikuwa wapenzi na dr toka form 2 ila hawajawahi ku-do. Sasa doctor kasikia binti ana mtu na labda amejua anataka kuolewa ameingiwa na hasira kwamba yeye kalea wengine wanachukua kiraini. Kwa sababu ukweli unabaki pale pale kila doctor anayemtibu anampa namba ya simu? Je doctor yuko single?

Incidence nzima kama ni ya ukweli imekaa ki kisasi kisasi. Wanawake wooote huyo doctor atoke huko alikotoka mpaka chuoni na bastora kumfuata yeye. Kwa nini asingetumia maelewano kwanza na kuamua kutumia bastora moja kwa moja. Je alishawahi kumtaka before?

Pole kaka I am trying to be on your shoes. Lazima uatakuwa umechanganyikiwa pengine kuliko aliyebakwa. Mapenzi yana mateso yake.

EEh alafu umesema amemwambia atamfata tena. Pole hiyo tena kali. Ndio umeshanyang'anywa kitumbua chako mwaya. Hii ya kumfuata tena inanifanya nione huu ni usanii sasa. Umekuwa replaced. Sijawahi sikia mbakaji anaaga kuwa atarudi tena.

Hapo kwenye red kumenifanya nikose imani na huyo binti. Kwa hiyo keshaambiwa jamaa ataendelea kuwa anambaka. Eeh. Huyo dada anakutema kwa staili ya kipekee.

Jamaa alikwenda pale akampigia simu niko chuoni kwenu naomba kukuona,gf wangu akamwomba mwenzie amsindikize mwenzie akamwambia we tangulia nakuja,kufika jamaa akamwona akamwashia taa akamfata,akamsalimia jamaa akamwambia ingia kwenye gari kwani unaniogopa akamwambia siwezi kwa sababu nina haraka akamwomba demu akaona haina shida kuingia tu kwenye gari jamaa kamtolea hiyo bastola,akamwambia tulia la sivyo nitakufumua ubongo,then jamaa akatoa gari kufika getini bastola kamwekea kiunoni,akaendesha gari msichana hajui walienda hadi wapi akamnyanga'anya simu akaanza na mengine hayo ya kumlazimisha kudo akamrudisha hadi chuo then akamwambia unitafute usiponitafuta nikikutafuta mm utakuwa kwenye matatizo zaidi

Angekuwa si malaya ungewezaje kumtoa bikra nje ya ndoa?

Jee, ulikuwepo wakati anatekwa na bastola? Au ndio story aliokupa yeye?

Usiwe ****, kama hiyo story kakupa yeye basi kakudanganya kijinga nawe umeingia mkenge kwa kuwa unamuamini sana.

Una matatizo ww, si bure!

Hapo kwenye red kumenifanya nikose imani na huyo binti. Kwa hiyo keshaambiwa jamaa ataendelea kuwa anambaka. Eeh. Huyo dada anakutema kwa staili ya kipekee.
Umeona nyumba kubwa eee yaani msichana msanii ajabu

Huyo binti si mkweli! Kuna wadada wangapi hapo chuo? Kwa nini abakwe yeye? Kwa nini alioga baada ya kubakwa? Achana na huyo Binti FASTA!!

Pole sana kaka. Kama una hakika ametekwa na kubakwa then huna haja ya kumhisi vibaya. kwanza nenda polisi kwa kuwa swala la kutekwa ni criminal case na banati nzuri, hadi unajua ametekwa, obvious utakuwa unajua yuko wapi. kwa mtaji huo basi wewe chukua hatua za kiesheria.

again, mwanamke anayetaka kubakwa at gun point sio mwanamke wa kumwacha. kama utamwacha kwa kosa kama hilo ambalo sio la kwake, there could be two pisbilities,
1) kwa kuwa amebakwa, na ni kitu kibaya sana kwa mwanamke, she will be physiocological disturbed

2) If you dump her, she is likely to commit suicide.

Are you ready?

Mimi pia ni mwanamke,kaka yangu hapo umeliwa.

Back
Top Bottom