Girlfriend wangu hataki kabisa nishike simu yake

Girlfriend wangu hataki kabisa nishike simu yake

Pule

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2024
Posts
378
Reaction score
719
Habari za wakati huu!

Wadau wa JF, nina girlfriend lakini hapendi kabisa nishike simu yake kinamna yoyte Ile. Hili linafanya niwaze, ilikuwa hivi, leo alikuja nyumbani asubuhi tumekaa, tumefanya yetu baada ya kumaliza tukawa tunapiga stori za kawaida ndipo nikasema ngoja nijaribu kuomba simu yake.

Ugomvi ndo ukaanzia hapo hataki kabisa nishike simu yake. Nikamnyang'anya kwa nguvu nikawa naanglia akasema pin amebadilisha lakini kuweka ile ya mwanzo ikafunguka naanza kuanglia picha tu akaja nakuanza kudai simu yake tena kwa nguvu na ugomvi juu nikimuuliza nini anaficha humu hajibu kitu anasema tu kwani simu ni yako?

Ananifanya niwaze pengine kuna vitu anaficha vibaya au laah! Nifanye nini wakuu Ili nijue ni nini anaficha?
 
Habari za wakati huu!! Wadau wa jf. Nina girlfriend lakini hapendi kabisa nishike simu yake kinamna yoyte Ile. Hili linafanya niwaze, ilikuwa hivi..... Leo alikuja nyumbani asubuhi tumekaa,tumefanya yetu baada ya kumaliza tukawa tunapiga stori za kawaida ndipo nikasema ngoja nijaribu kuomba simu yake.

Ugomvi ndo ukaanzia hapo hataki kabisa nishike simu yake nikamnyang'anya Kwa nguvu nikawa naanglia akasema pin amebadilisha lakini kuweka ile ya mwanzo ikafunguka naanza kuanglia picha tu akaja nakuanza kudai simu yake Tena Kwa nguvu na ugomvi juu nikimuuliza Nini anaficha humu hajibu kitu anasema tu Kwani simu ni yako?
Ananifnya niwaze pengine Kuna vitu anaficha vibaya au laah! Nifanye nini wakuu Ili nijue ni nini anaficha?
Kwan wewe unataka kujua nin tuanzie hapo
 
Habari za wakati huu!

Wadau wa JF, nina girlfriend lakini hapendi kabisa nishike simu yake kinamna yoyte Ile. Hili linafanya niwaze, ilikuwa hivi, leo alikuja nyumbani asubuhi tumekaa, tumefanya yetu baada ya kumaliza tukawa tunapiga stori za kawaida ndipo nikasema ngoja nijaribu kuomba simu yake.

Ugomvi ndo ukaanzia hapo hataki kabisa nishike simu yake. Nikamnyang'anya kwa nguvu nikawa naanglia akasema pin amebadilisha lakini kuweka ile ya mwanzo ikafunguka naanza kuanglia picha tu akaja nakuanza kudai simu yake tena kwa nguvu na ugomvi juu nikimuuliza nini anaficha humu hajibu kitu anasema tu kwani simu ni yako?

Ananifanya niwaze pengine kuna vitu anaficha vibaya au laah! Nifanye nini wakuu Ili nijue ni nini anaficha?
uyo usimwite girl friend wangu bali kuanzia leo muite........... ...."girl friend wetu"
 
Back
Top Bottom