Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado uko nae tu?! Huoni kama ni bomu hilo!Habari za wakati huu!
Wadau wa JF, nina girlfriend lakini hapendi kabisa nishike simu yake kinamna yoyte Ile. Hili linafanya niwaze, ilikuwa hivi, leo alikuja nyumbani asubuhi tumekaa, tumefanya yetu baada ya kumaliza tukawa tunapiga stori za kawaida ndipo nikasema ngoja nijaribu kuomba simu yake.
Ugomvi ndo ukaanzia hapo hataki kabisa nishike simu yake. Nikamnyang'anya kwa nguvu nikawa naanglia akasema pin amebadilisha lakini kuweka ile ya mwanzo ikafunguka naanza kuanglia picha tu akaja nakuanza kudai simu yake tena kwa nguvu na ugomvi juu nikimuuliza nini anaficha humu hajibu kitu anasema tu kwani simu ni yako?
Ananifanya niwaze pengine kuna vitu anaficha vibaya au laah! Nifanye nini wakuu Ili nijue ni nini anaficha?
wapi imeandikwa majukumu ya mwanaume kumnunulia simu mwanamke ikiwa hajaolewa na sio mke?Cm ulimnunulia wewe ??? Isije kua unataka kushika cm aliyonunuliwa na wanaume wenzyo wanaojua majukumu yao....we huogopi ????
Simu ni vitu private, mwenyewe anajipiga picha zake aone maumbile yake atutumie na ma boyfriends zake au kuna chat zetu humo, tunamtumia mishedede yetu, wewe inakuhusu nini?Habari za wakati huu!
Wadau wa JF, nina girlfriend lakini hapendi kabisa nishike simu yake kinamna yoyte Ile. Hili linafanya niwaze, ilikuwa hivi, leo alikuja nyumbani asubuhi tumekaa, tumefanya yetu baada ya kumaliza tukawa tunapiga stori za kawaida ndipo nikasema ngoja nijaribu kuomba simu yake.
Ugomvi ndo ukaanzia hapo hataki kabisa nishike simu yake. Nikamnyang'anya kwa nguvu nikawa naanglia akasema pin amebadilisha lakini kuweka ile ya mwanzo ikafunguka naanza kuanglia picha tu akaja nakuanza kudai simu yake tena kwa nguvu na ugomvi juu nikimuuliza nini anaficha humu hajibu kitu anasema tu kwani simu ni yako?
Ananifanya niwaze pengine kuna vitu anaficha vibaya au laah! Nifanye nini wakuu Ili nijue ni nini anaficha?
Tunalinda future brooSimu ni vitu private, mwenyewe anajipiga picha zake aone maumbile yake atutumie na ma boyfriends zake au kuna chat zetu humo, tunamtumia mishedede yetu, wewe inakuhusu nini?
Wewe simu yake ya nini na unae yeye mwenyewe?
U prove Nini?Bado ndo maana nataka niangalie simu yake Ili ni prove