Cassnzoba
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 3,661
- 6,913
Nikajua umeshalala mapema darling ๐ป๐ฅน
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikajua umeshalala mapema darling ๐ป๐ฅน
๐๐๐๐Kwa uvaaji uho wa kwenye avatar lazima uchapiwe
Kama yake hataki basi na yako asishike periodSawa ni yake kweli Nina nafasi ya kuishika lakini why akatae anaficha Nini? Na yangu anashika?
Hili swali muhusika ndio anajibu lake. Ila kiujumla si sawa kupekuana simu ni kutafuta kutokaa kwa amani.Na yeye simu anaficha kwasababu gani?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa uvaaji uho wa kwenye avatar lazima uchapiwe
Sawa kiongozi ๐ซกKama yake hataki basi na yako asishike period
Lakini pili hivi unaamini hata ukishika simu yake ndio kuna mabaya utazuia?
Ni hivi mtu akiamua kuwa mshenzi anakuwa mshenzi na hata simu anakuwaachia wiki nzima,na bado anafanya yake
Tatu ,wakati mwingine unazuiwa kuyaona yatakayo kukera,je anakuheshimu? Kama jibu ndio basi usitafute yatakayo kuuzi
Mbn unacheka mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja uachwe ndio utajua๐๐๐๐
Kwani kuna uhusiano gani wa mavaz na....
Nimekupata mkuuUmemua
Au umemtolea mahali ana umepewa baraka na WAZAZI wake muishi
Ama kama sivyo mnakutanisha tu VIKOJOLEO vyenu wewe ukihisi misuli ya uuume imekaza na yeye akitaka ELA anakuja kuumiza SEHEMU ZAKE ZA SIRI kwa kuunganisha kukijoleo chake na chako mpaka misuli ya uuume wako ikisinyaa basi endeleeni ti hvyohvyo
Ama km unataka kushika simu Yako ambayo utakuwa umempa wewe
Mwambie hiyo yakr auze then wewe kanunue IPHONE 14 pro max au SAMSUNG GALAXY S24 Kisha mpatie hapo sasa atakuruhusu/ utaruhusiwa kushika simu yake na kukaa nayo muda wowote ule
Sawa KIJANA WANGUView attachment 3069215
Jiongezee mzee baba๐ค๐ค Niondke vipi sas
Anavaa kama anaenda toa sadaka ya mbuzi kanisani usichapiwe kweli sijajua kwenye lafudhi sijui ya kimakonde au kisukuma๐๐๐๐
Kwani kuna uhusiano gani wa mavaz na....