Girlfriend wangu hataki kabisa nishike simu yake

Habari za wakati huu!

Wadau wa JF, nina girlfriend lakini hapendi kabisa nishike simu yake kinamna yoyte Ile. Hili linafanya niwaze, ilikuwa hivi, leo alikuja nyumbani asubuhi tumekaa, tumefanya yetu baada ya kumaliza tukawa tunapiga stori za kawaida ndipo nikasema ngoja nijaribu kuomba simu yake.

Ugomvi ndo ukaanzia hapo hataki kabisa nishike simu yake. Nikamnyang'anya kwa nguvu nikawa naanglia akasema pin amebadilisha lakini kuweka ile ya mwanzo ikafunguka naanza kuanglia picha tu akaja nakuanza kudai simu yake tena kwa nguvu na ugomvi juu nikimuuliza nini anaficha humu hajibu kitu anasema tu kwani simu ni yako?

Ananifanya niwaze pengine kuna vitu anaficha vibaya au laah! Nifanye nini wakuu Ili nijue ni nini anaficha?
Mwanamke nirahisi sana kujua kama anacheat ukiwa mwanaume timamu maan red flag zao huwa wanazioneshaga mapema tu hata kwa utani.
Embu soma hapo chini alafu Stoke kwenye ujinga huo
Believe In Yourself Keep Your Priorities Straight Take Responsibility For Yourself Create Your Own Future Focus On What You Want Learn To Visualize The Outcome Of Your Goals Never Let Anyone Control Your Destiny For You Be Creative Think Big Control Stress Be Aggressive And Assertive Think Positiveiy
 
Nimeelewa
 
Wanawake wa siku hizi? Kwani hakuna wanaume wasiotaka kupekuliwa simu zao? Kudate na mtu haimaanishi ndio unamiliki kila kitu kumuhusu kama hataki uguse simu yake heshimu hilo.
Sasa nawezaje kukuita mpenzi kama sina authority juu yako? Nawezaje kukuoa kama huoneshi utii na imani tangu uchumba? siku hizi wanawake mna shida gani? mbona mnafeli pakubwa sn.
 
Habari za wakati huu!

Wadau wa JF, nina girlfriend lakini hapendi kabisa nishike simu yake kinamna yoyte Ile. Hili linafanya niwaze, ilikuwa hivi, leo alikuja nyumbani asubuhi tumekaa, tumefanya yetu baada ya kumaliza tukawa tunapiga stori za kawaida ndipo nikasema ngoja nijaribu kuomba simu yake.

Ugomvi ndo ukaanzia hapo hataki kabisa nishike simu yake. Nikamnyang'anya kwa nguvu nikawa naanglia akasema pin amebadilisha lakini kuweka ile ya mwanzo ikafunguka naanza kuanglia picha tu akaja nakuanza kudai simu yake tena kwa nguvu na ugomvi juu nikimuuliza nini anaficha humu hajibu kitu anasema tu kwani simu ni yako?

Ananifanya niwaze pengine kuna vitu anaficha vibaya au laah! Nifanye nini wakuu Ili nijue ni nini anaficha?
We ni lijinga
 
Back
Top Bottom