Jana natoka zangu job jioni niko kwa hiace nimekaa na dada mmoja seat ya pembeni. Kasinzia hadi ananiegemea; nikaona isiwe kesi, kidume nikakaza tu kibingwa.
Sasa tumefika kituo fulani konda anauliza kuna abiria ana-drop, yule dada si kashtuka usingizini karopoka, "hee! jamani vaa condom kwanza".
Duh! nikaona kila abiria anageuza shingo ananiangalia mimi, asee nilibaki kimya nimechoka mle kwa daladala.