Girls, sometimes muwe munawaza vya msingi, siyo kisa umekutana na baharia amefanya maunyama kila mtu ajue sasa

Girls, sometimes muwe munawaza vya msingi, siyo kisa umekutana na baharia amefanya maunyama kila mtu ajue sasa

Alexiza

Member
Joined
Nov 26, 2019
Posts
19
Reaction score
10
Jana natoka zangu job jioni niko kwa hiace nimekaa na dada mmoja seat ya pembeni. Kasinzia hadi ananiegemea; nikaona isiwe kesi, kidume nikakaza tu kibingwa.

Sasa tumefika kituo fulani konda anauliza kuna abiria ana-drop, yule dada si kashtuka usingizini karopoka, "hee! jamani vaa condom kwanza".

Duh! nikaona kila abiria anageuza shingo ananiangalia mimi, asee nilibaki kimya nimechoka mle kwa daladala.
 
Iokote
here-ithink-you-dropped-this-39628760.jpeg
 
Kuna mtu aliniambia sikuamini, lakn kwa post zilizojaa humu JF sasa nakubali, alisema hivi:

Mwafrika akiamka usingizi
hushika sehemu za siri lakini mzungu hushika kichwa.

Hatuwezi kuachwa kutawaliwa na watawala wetu na mabeberu pia hatuwazi kingine ni parachchi tu.
 
Back
Top Bottom