Wilfred Ramadhan
JF-Expert Member
- Apr 7, 2022
- 503
- 905
- Thread starter
- #21
Soma vizuri huu uziUnawachoma wenzako halafu eti huwa kila ndugu mnawapa laki mbili kwa mwezi, dogo acha makuzi wewe muhuni wa keko View attachment 2323961
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma vizuri huu uziUnawachoma wenzako halafu eti huwa kila ndugu mnawapa laki mbili kwa mwezi, dogo acha makuzi wewe muhuni wa keko View attachment 2323961
Mwenzio anaomba ushauri wewe umeenda kuchimba makaburi😅😅.. mpwayungu bwanaUnawachoma wenzako halafu eti huwa kila ndugu mnawapa laki mbili kwa mwezi, dogo acha makuzi wewe muhuni wa keko View attachment 2323961
Hakuna kitu kama hicho labda kama ni chai lakini kama ni kweli kataa, vitu vya hivyo vina nuksi jaribuni muoneAnadai kwa kusema uku unakoenda kunikopea hawajui kitu kukuhusu ko usiogope alimwambia hivo maana mwanzo niliwaza ii kitu nikamshauri wife
Itakuwa wamewaokota kweliKwanza huyo mama anawaona mna pesa maana kutoa laki 2.5 sio mchezo tena kila mwezi.wanawashauri asichukue mwambe hawezi kufanya kwani hali yenu sio nzuri.
Oya mwambie hamna pesa acheni masikhara ila angalia asije akawaendea kwa wagangaAlafu et bado anaona ndogo sjui dah wazazi wetu awa asee ni changamoto kidogo
Msimpe hata hizo passport ni ukauzu tu kuna mmama mmoja ndyo zake huku napoishi analazimisha ndugu zake waingie mkenge wasijue wapojeHabari wakuu,
Ni mda sasa tangu niwe na mke wangu katika ndoa yetu kuna vitu vingi vimeendelea vingine unameza kama kidume vingine unashare kwa lengo la watu kujifunza au kutoa na kupokea ushauri panapobidi.
Moja kwa moja twende kwenye kiini cha uzi huu,
Mwezi uliopita mke wangu alipokea simu kutoka kwa mama yake (sio mzazi) akapokea maelezo kibao sana niliona akikunja uso wake mzuri kuashiria kama kuna kitu hajakubaliana nacho mara tu baada ya kukata simu ile nikamuulza vipi uko kuna tatizo ?
Akavuta pumzi kwanza na kusema ah sijui niseme vipi ila ni kama tatizo , nikaendelea kumsikiliza pale sasa kilichokuwepo ni kwamba mama yake kamuomba amchukulie mkopo kwenye hizi saccos za kukopesha na yeye hakutaka kufanya vile ila amelelewa na kukuzwa nae na anaona kama akikataa anaweza kuzua maneno mengi yupo njia panda kuamua ilo mimi nilidhani ataenda kama mdhamini ila anaenda kama mkopaji rasmi na mama yake aliwai kukimbia mikopo kadhaa hapo awali ambayo ilipelekea mitafaruko ikiambatana na kushkwa kwa baadhi ya wahusika .
Sasa wife yupo apa anawaza afanyaje mpk anafkria kutoa laki 8 hzo ampe mama yake ambapo ni nje ya natumizi yetu ya mwezi maana tumeshatoa laki mbili na nusu kwa kila familia kila mwisho wa mwezi huwa ni jadi yetu kufanya hivyo
Sasa we kama ndugu yangu nimshauri vipi wife ?
Sio kweli bro, niliingia kwenye ndoa nikiwa na 24 mpaka sasa mwaka wa 12 na kuzidi na nime survive, umri sio kigezo sana cha ukavu.Ndio maana. Vijana mnaingia kwenye maisha ya ndoa mkiwa hamjakomaa. Hiki ulicholeta sio kitu cha kuomba ushauri unless unafurahisha baraza.
Duh 24 ulikua unawahi wapi?Sio kweli bro, niliingia kwenye ndoa nikiwa na 24 mpaka sasa mwaka wa 12 na kuzidi na nime survive, umri sio kigezo sana cha ukavu.
Asee umefanya niogope kabisa mkopo mimi nachkuaga kwa watu wa karibu sio taasiai yani sjawai kiskia joto lakeHongera kupata shemeji mzuri!
Hongera pia kuwa kwenye ndoa.
Heri lawama kuliko fedheha, heri nusu Shari kuliko shari kamili.
Hakuna kitu kinachofanya maisha yasiwe na furaha kama mkopo, kwa namna yoyote ndugu mleta mada usikubali shemeji awe sehemu ya huo mkopo na wala mkopo wowote lazima mkose amani na furaha tu!
Binafsi niliwahi kuwa na mkopo kwenye taasisi hizi za mikopo na niliwahi kuwa mdhamini wa mkopo kwa mtu, kwa kipindi hiki kwa kweli nilitamani hata kuukimbia mji.
Mkomalie we mchane bila kuzingatia katuma mtuNiliwaza hivi pia ila mama kakaza ndo kwanza katuma mtu leo achukue passport za wife
Itikadi kali ?Kwenye maisha kuna mda unatakiwa kuwa bepari
Sasa mbona hapo juu umesema upo na umri Kati ya 27 -32? .Sasa hata huku Jf unadanganya umri kama Instagram?Mwambie mkeo amwambie mama yake aongee na mumewe(mama mkwe wako akupigie akuombe ridhaa ya mkeo kwenda kuchukua loan)Huko kwenu mwanamke ambaye Yuko Kwa mumewe anaendeshwa na ndugu?simama kama Mme eboh!Sio kweli bro, niliingia kwenye ndoa nikiwa na 24 mpaka sasa mwaka wa 12 na kuzidi na nime survive, umri sio kigezo sana cha ukavu.
Iyo 24 ni comment ya mtu mi niko kwenye 27-32Sasa mbona hapo juu umesema upo na umri Kati ya 27 -32? .Sasa hata huku Jf unadanganya umri kama Instagram?Mwambie mkeo amwambie mama yake aongee na mumewe(mama mkwe wako akupigie akuombe ridhaa ya mkeo kwenda kuchukua loan)Huko kwenu mwanamke ambaye Yuko Kwa mumewe anaendeshwa na ndugu?simama kama Mme eboh!
Mimi sio mleta mada ndugu yangu rudi tena kule juu kuweka mtiririko wa commentSasa mbona hapo juu umesema upo na umri Kati ya 27 -32? .Sasa hata huku Jf unadanganya umri kama Instagram?Mwambie mkeo amwambie mama yake aongee na mumewe(mama mkwe wako akupigie akuombe ridhaa ya mkeo kwenda kuchukua loan)Huko kwenu mwanamke ambaye Yuko Kwa mumewe anaendeshwa na ndugu?simama kama Mme eboh!
SorryMimi sio mleta mada ndugu yangu rudi tena kule juu kuweka mtiririko wa comment