Giza la mchana

Giza la mchana

Anadai kwa kusema uku unakoenda kunikopea hawajui kitu kukuhusu ko usiogope alimwambia hivo maana mwanzo niliwaza ii kitu nikamshauri wife
Hakuna kitu kama hicho labda kama ni chai lakini kama ni kweli kataa, vitu vya hivyo vina nuksi jaribuni muone
 
Hongera kupata shemeji mzuri!
Hongera pia kuwa kwenye ndoa.

Heri lawama kuliko fedheha, heri nusu Shari kuliko shari kamili.

Hakuna kitu kinachofanya maisha yasiwe na furaha kama mkopo, kwa namna yoyote ndugu mleta mada usikubali shemeji awe sehemu ya huo mkopo na wala mkopo wowote lazima mkose amani na furaha tu!

Binafsi niliwahi kuwa na mkopo kwenye taasisi hizi za mikopo na niliwahi kuwa mdhamini wa mkopo kwa mtu, kwa kipindi hiki kwa kweli nilitamani hata kuukimbia mji.
 
Habari wakuu,
Ni mda sasa tangu niwe na mke wangu katika ndoa yetu kuna vitu vingi vimeendelea vingine unameza kama kidume vingine unashare kwa lengo la watu kujifunza au kutoa na kupokea ushauri panapobidi.

Moja kwa moja twende kwenye kiini cha uzi huu,
Mwezi uliopita mke wangu alipokea simu kutoka kwa mama yake (sio mzazi) akapokea maelezo kibao sana niliona akikunja uso wake mzuri kuashiria kama kuna kitu hajakubaliana nacho mara tu baada ya kukata simu ile nikamuulza vipi uko kuna tatizo ?

Akavuta pumzi kwanza na kusema ah sijui niseme vipi ila ni kama tatizo , nikaendelea kumsikiliza pale sasa kilichokuwepo ni kwamba mama yake kamuomba amchukulie mkopo kwenye hizi saccos za kukopesha na yeye hakutaka kufanya vile ila amelelewa na kukuzwa nae na anaona kama akikataa anaweza kuzua maneno mengi yupo njia panda kuamua ilo mimi nilidhani ataenda kama mdhamini ila anaenda kama mkopaji rasmi na mama yake aliwai kukimbia mikopo kadhaa hapo awali ambayo ilipelekea mitafaruko ikiambatana na kushkwa kwa baadhi ya wahusika .

Sasa wife yupo apa anawaza afanyaje mpk anafkria kutoa laki 8 hzo ampe mama yake ambapo ni nje ya natumizi yetu ya mwezi maana tumeshatoa laki mbili na nusu kwa kila familia kila mwisho wa mwezi huwa ni jadi yetu kufanya hivyo

Sasa we kama ndugu yangu nimshauri vipi wife ?
Msimpe hata hizo passport ni ukauzu tu kuna mmama mmoja ndyo zake huku napoishi analazimisha ndugu zake waingie mkenge wasijue wapoje
 
Ndio maana. Vijana mnaingia kwenye maisha ya ndoa mkiwa hamjakomaa. Hiki ulicholeta sio kitu cha kuomba ushauri unless unafurahisha baraza.
Sio kweli bro, niliingia kwenye ndoa nikiwa na 24 mpaka sasa mwaka wa 12 na kuzidi na nime survive, umri sio kigezo sana cha ukavu.
 
Hongera kupata shemeji mzuri!
Hongera pia kuwa kwenye ndoa.

Heri lawama kuliko fedheha, heri nusu Shari kuliko shari kamili.

Hakuna kitu kinachofanya maisha yasiwe na furaha kama mkopo, kwa namna yoyote ndugu mleta mada usikubali shemeji awe sehemu ya huo mkopo na wala mkopo wowote lazima mkose amani na furaha tu!

Binafsi niliwahi kuwa na mkopo kwenye taasisi hizi za mikopo na niliwahi kuwa mdhamini wa mkopo kwa mtu, kwa kipindi hiki kwa kweli nilitamani hata kuukimbia mji.
Asee umefanya niogope kabisa mkopo mimi nachkuaga kwa watu wa karibu sio taasiai yani sjawai kiskia joto lake
 
Niliwaza hivi pia ila mama kakaza ndo kwanza katuma mtu leo achukue passport za wife
Mkomalie we mchane bila kuzingatia katuma mtu

Manara alienda hadi na Hersi kwa Karia lakini hakuepuka rungu, sasa hiyo kumtuma mtu passport anafikiri ndio kukubaliwa

Usikubali kubeba mzigo wa madeni, labda kama unaka laki mwambie mama kama una shida na kiasi kikubwa cha hela mi sina na uwezo wa kukopa sehemu nyingine mi sina kama bipi shika hii laki ukajiongeze mbele
 
Sio kweli bro, niliingia kwenye ndoa nikiwa na 24 mpaka sasa mwaka wa 12 na kuzidi na nime survive, umri sio kigezo sana cha ukavu.
Sasa mbona hapo juu umesema upo na umri Kati ya 27 -32? .Sasa hata huku Jf unadanganya umri kama Instagram?Mwambie mkeo amwambie mama yake aongee na mumewe(mama mkwe wako akupigie akuombe ridhaa ya mkeo kwenda kuchukua loan)Huko kwenu mwanamke ambaye Yuko Kwa mumewe anaendeshwa na ndugu?simama kama Mme eboh!
 
Iyo 24 ni comment ya mtu mi niko kwenye 27-32
 
Sasa mbona hapo juu umesema upo na umri Kati ya 27 -32? .Sasa hata huku Jf unadanganya umri kama Instagram?Mwambie mkeo amwambie mama yake aongee na mumewe(mama mkwe wako akupigie akuombe ridhaa ya mkeo kwenda kuchukua loan)Huko kwenu mwanamke ambaye Yuko Kwa mumewe anaendeshwa na ndugu?simama kama Mme eboh!
Mimi sio mleta mada ndugu yangu rudi tena kule juu kuweka mtiririko wa comment
 
Eleza wazi itakua ngumu kwa sasa una rejesho lingine
Afu kaa kimya
Wasiwafanye ndondocha
 
Back
Top Bottom