Mr Issa Mussa
Member
- Oct 6, 2020
- 11
- 11
Sio siri kwa jinsi mwelekeo ulivyo kwa Sasa kwa watu waliosoma degree kupata kaz serikalin no asilimia ndogo Sana.
Na kwa masikitiko makubwa wengi waliosoma degree ni wenye uchumi mdogo walifanya hivyo kutokana na kulipiwa ada na serikali.
Najua kuna baadhi ya wanamember watasema kusoma ni kupata maarifa ila ukweli ni kwamba hayo maarifa hayawezi kuwa na tija bila viwezeshi.
Hatukupenda kusoma degree Ila uchumi umetupelekea huko.
Tunajua serikali imeaua kuchukua mkondo huu wa kuwapa vipao pele kwa waliosoma certificate na diploma kwa kubana matumizi.
Ila ipo aja ya serikali kuja na namna ya kuwafikiria wale waliosoma degree.
ni mawazo yangu tu, hali si shwari tumaini kwa wazazi wetu linapotea kabisa.