Giza latanda, kwa waliosoma degree kupata ajira serikalini ni sawa na punda kupita tundu la sindano

Giza latanda, kwa waliosoma degree kupata ajira serikalini ni sawa na punda kupita tundu la sindano

Lakini vyuo vikuu/ Taasisi za Elimu ya Juu vinatangaza nafasi za kazi kila mara sujajua tatizo nini?! Kwamba maprofesa wamepungua sana ama wahadhiri wanahama kutoka vyuo vikuu kwenda Taasisi zingine?! Bahati mbaya ajira za kufundusha vyuo vikuu ni nyingi ila GPA ya 3.8 inaacha nje ya mstari wahitimu wengi wa degree
 
Hapo kusema ni nyingi sio kweli, Watu wana GPA zaidi ya hiyo na hawaelewi hawana kazi
 
Degrees Ni heshima kuwa nayo pia tujitume kuangalia opportunity mbalimbali maana serikali ya Ccm haipendi wasomi but kuhusu ajira watu wenye certificate huku mtaani Ni wengi Sana compared with degree holder
 
Poleni Sana wasomi wenzangu ipo siku nanyi mtapata nafasi kwa maana tulio na kazi tunakufa na kustaafu pia
 
Hio certificate na diploma ni ipi ambayo serikali inachukuaga maana mie nina diploma ya IT ila sijawahi kuona kazi inayoniruhusu zaidi zote zinataka bachelor of computer science au zinazoelekeana
Mkuu,kumbe hauna degree?
Amazing,.mbona unaonekana uko smart sana?
 
Hio certificate na diploma ni ipi ambayo serikali inachukuaga maana mie nina diploma ya IT ila sijawahi kuona kazi inayoniruhusu zaidi zote zinataka bachelor of computer science au zinazoelekeana
Mkuu mwaka huu zilitangazwa 4 tu TRA , VETA , MBEYA ,TPA ๐Ÿคฃ
 
๐ง๐ข๐ง๐š ๐œ๐ซ๐ญ๐ข๐Ÿ๐ข๐œ๐š๐ญ๐ž ๐จ๐Ÿ ๐ฉ๐ฅ๐ฎ๐ฆ๐›๐ข๐ง๐  ๐š๐ง๐ ๐ฉ๐ข๐ฉ๐ž ๐Ÿ๐ข๐ญ๐ญ๐ข๐ง๐  ๐ฆ๐›๐จ๐ง๐š ๐ฌ๐ข๐ฃ๐š๐ฐ๐š๐ก๐ข ๐ค๐ฎ๐ค๐ฎ๐ญ๐š๐ง๐š ๐ง๐š ๐›๐š๐ง๐๐ข๐ค๐จ ๐ฅ๐š ๐ค๐š๐ณ๐ข ๐ค๐ฐ๐š ๐ฅ๐ž๐ฏ๐ž๐ฅ ๐ฒ๐š๐ง๐ ๐ฎ, ๐ˆ ๐ก๐จ๐ฉ๐ž ๐ฎ๐ฅ๐ข๐œ๐ก๐จ ๐š๐ง๐๐ข๐ค๐š ๐ง๐ข ๐ฎ๐จ๐ง๐ ๐จ ๐ง๐š ๐ค๐ฎ๐ฅ๐š๐ฅ๐š๐ฆ๐ข๐ค๐š ๐›๐ฎ๐ซ๐ž
Sijui kwanini mnapenda kukaa kwenye simu na kuchat ujinga unashindwa kutafuta kazi zinazo tangazwa haya soma juzi tuu walitaka mtu mwenye certificate ya plumbing wewe unalala hakuna ajira .....
Screenshot_20220628-214555_Chrome.jpg
Screenshot_20220628-214614_Chrome.jpg
 
Nina GPA 4.1 afya age imesonga ila Kuna classmate mdogo kuliko Mimi gpa 2.7 kapata kazi, hivyo vigezo ni geresha tu wanajua wenyewe utaratibu walioutumia kupata hao watu.
 
Sijui kwanini mnapenda kukaa kwenye simu na kuchat ujinga unashindwa kutafuta kazi zinazo tangazwa haya soma juzi tuu walitaka mtu mwenye certificate ya plumbing wewe unalala hakuna ajira .....View attachment 2275907View attachment 2275908
Hahahaha๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜, hapana mkuu inategemeana na uwezo wa kutumia simu, kama nimezoea kuingia jfm na kutoka, nitajuaje tovuti za ajira , sema kila kitu ni connection
 
Hahahaha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], hapana mkuu inategemeana na uwezo wa kutumia simu, kama nimezoea kuingia jfm na kutoka, nitajuaje tovuti za ajira , sema kila kitu ni connection
[emoji44]hiyo ajira portal huijui?
 
Mkuu kumbe na wewe ni lijobless
Binafsi nashangaa sana watu mnao intertain kuajiriwa kama last Friday nilikuwa na 2.7ml na nimetumia yote imeisha bila kununua hata chupi.. nafikiria ni kwa namna gani kuajiriwa ni utumwa yani

Kujiajiri ni ngumu.. but once you get used to it hutotamani ajira kabisa

Mliobahatika kupata ajira tafuteni mikopo kwaajili ya kufanya biashara sio kununua ma crown [emoji146] kama first priority.. lakini pia usikimbilie mkopo kama hujafanya research ya kutosha kuhusu biashara ama mradi unataka kufanya.
 
Unashangaa watu wanao entertain kuajiriwa na umesema kuajiriwa ni utumwa

At the same time umeajiriwa

Sasa Mkuu si ungeacha kazi kwa nini unakubali kuteseka na utumwa tena jamani ?
 
Back
Top Bottom