Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Mimi ni nani nisipitie magumu jamani Paulina ?Hadi kwako mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni nani nisipitie magumu jamani Paulina ?Hadi kwako mkuu?
Degree nayo sa hv ni ya watu masikini. Bonge la ushuzi hili limechafua uzi wako.Sio siri kwa jinsi mwelekeo ulivyo kwa Sasa kwa watu waliosoma degree kupata kaz serikalin no asilimia ndogo Sana.
Na kwa masikitiko makubwa wengi waliosoma degree ni wenye uchumi mdogo walifanya hivyo kutokana na kulipiwa ada na serikali.
Najua kuna baadhi ya wanamember watasema kusoma ni kupata maarifa ila ukweli ni kwamba hayo maarifa hayawezi kuwa na tija bila viwezeshi.
Hatukupenda kusoma degree Ila uchumi umetupelekea huko.
Tunajua serikali imeaua kuchukua mkondo huu wa kuwapa vipao pele kwa waliosoma certificate na diploma kwa kubana matumizi.
Ila ipo aja ya serikali kuja na namna ya kuwafikiria wale waliosoma degree.
ni mawazo yangu tu, hali si shwari tumaini kwa wazazi wetu linapotea kabisa.
Hapana siifahamu Boss[emoji44]hiyo ajira portal huijui?
Nani amesema ameajiriwa?.. [emoji23]Unashangaa watu wanao entertain kuajiriwa na umesema kuajiriwa ni utumwa
At the same time umeajiriwa
Sasa Mkuu si ungeacha kazi kwa nini unakubali kuteseka na utumwa tena jamani ?
Ahaa hapo sawa nimekuelewa mkuuNani amesema ameajiriwa?.. [emoji23]
Vyeti vyangu vipo kabatini.. natumia profession yangu kutengeneza pesa pasipo kuajiriwa binafsi nimeshakataa kazi mbili
Yani iko hivi.. uki focus kujiajiri ndo wenye ofisi wanatamani kukuajiri.. sijui unanielewa?
Kwa hyo mtu kuwa smart n lazma awe na degree?,, Basi yule mzee kutoka jalalani alitakiwa awe smart sana mana ana PhD kabisa,,,, Kuna tatzo kwenye ubongo wako aseeMkuu,kumbe hauna degree?
Amazing,.mbona unaonekana uko smart sana?
Huyu jamaa cjui anaionaje degree??Usmart unapimwa kwa degree jmn[emoji28]